Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,314
- 24,174
Siyo kila anayekamatwa anakuwa amevunja sheria yoyote.Muache kuishi kwa uhalifu na ujanja ujanja ili hayo mambo yaishe pili ukikamatwa ni haki yako kufikishwa mahakamani ili ukapate haki yako sasa nyie mkifanya yenu mnawashawishi hao watu msifikishwe mahakamani mnaogopa mvua, ushauri wangu kwa wahusika raia akikanyaga hapo peleka mahakamani msiwakilize watu kama mtoa mada baadae wanawachafua sana kwenye mitandao ya kijamii.
Hilo lieleweke fika.
Kwanza si kila polisi anaijua sheria , hilo la pili.
Tatu , siyo siri, watu wanakamatwa kisiasa, na ndio maana kuna kesi nyingi tu za kubambikwa au kukomoana.
Kukataa kwamba hilo halipo atika jeshi la polisi ni kuukataa ukweli.