Rais Samia na matumizi ya kodi zetu

Fedha hali kwa matumizi ya Sirikali." Tutaendelea kukopa ili kuleta maendelea. Kazi iendelee.
 
Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.

Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.

Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!

View attachment 2114128
Hukuona umuhimu wa kwenda Zanzibar ? Kumbe sikuhizi Qatar Airways inatua Dodoma ?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hiyo ni idiom. Huwezi kuelewa .Jifunze kiingereza kabla hujajifanya kukosoa.Na huwezi kuileta nusu inakuwa haileti maana.Sikulaumu tuition zipo nyingi kajiongeze.
The lights are on but nobody's home and Not nobody is home.
 
The lights are on but nobody's home and Not nobody is home.
Hiyo nobody's home ni kifupi cha nobody is home.
Grammatical contraction.
We can't- We cannot
You didn't- You did not.
Jifunze kiingereza wacha kukurupuka.
 
Kwa hili la kusafiri namuunga mkono Hangaya , maana wakati wa mwendazake watu waliponda sana ooh mgonjwa mara anaogopa ndege etc. Kwenye hili muacheni asafiri na atafute connections haiwezekani mtu ujifungie ndani tu Tanzania sio kisiwa, aupige tu mwingi kama alivyokua baba JK kwa ni shing ngapi bana , tuwe na appreciation wakati mwingine, hata angekua hasafiri mgesema pia
Uwe unasoma na kuelewa vizuri, inaonekana walimu waki walipata sana tabu
 
Nongwa za watanzania hazina tofauti na zile za waingereza, ni zile zile tu. Kwenda Zanzibar limekuwa kosa la kuandikiwa uzi!!.

Hizi akili za kimaskini.
Haya wahi clinic, usisahau kubeba ukwaju na maembe mabichi na kopo lako la kutemea mate
 
Mbona jiwe alivyoenda kujenga kwao na kuteua wa kwao hamkutoka na kusema.....Tulieni dawa iwaingie.....Mwacheni mama afanye anachojua..mkitaka subirini na nyie mkipata nafasi mfanye vile mnaona ni sahihi, mbali na hapo MWACHENI MAMA
Kichwa chako ni kama begi la kubebea meno
 
Back
Top Bottom