Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,862
- 5,679
Samia akumbushwe kuwa mwaka 1997 aliyekuwa Rais wa Zambia Keneth Kaunda ambaye alihisi Chama chake kitatawala milele na kuwanyanyasa wapinzani wake alikamatwa na kuwekwa gerezani huko Zambia. Kaunda aligoma kula na kunywa akiwa gerezani baada ya kuonjeshwa sehemu ndogo tuu ya ukatili aliokuwa akiwatendea wengine.
Wakumbushwe kuwa Nyerere alisafiri na mkewe mama Maria mpaka Lusaka Zambia kuonana na Rais wa wakati huo Chiluba kumshawishi amwachie na baadae wakaenda kuonana na Kaunda akiwa gerezani. Nyerere aliwaeleza Wana habari kuwa alifanikiwa kumshawishi Kaunda kuacha mgomo wa kula na kunywa na walikunywa wote juisi na biskuti wakiwa hapo gerezani.
Samia akumbushwe pia kuwa Mbowe ameoa na kubarikiwa kuwa na familia inayo mpenda Sana. Pia Mbowe ni mwenyekiti wa Chama Cha upinzani kikubwa hapa nchini na anapendwa Sana na wanachama wake. Mbowe anahitaji kuwa na familia yake Kama yeye Samia anavyoipenda familia yake mpaka wengine kuwapa vyeo ktk Serikali yake.
Samia aelezwe wazi kuwa Watanganyika sio wajinga. Amewaaonea huruma WAZANZIBARI wenzake ndugu zake wa damu mashehe wa uamsho akawaachia huru kwa kesi ya Ugaidi lakini hana huruma kwa kubambikia Watanganyika kesi ya Ugaidi ileile alio iona ni mbaya kwa ndugu zake.
CC. Chifu Hangaya