Rais Samia, Mwanza: Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya utatoka hivi karibuni, wote ni vijana. Mkipata fursa hizi mkafanye kama ilivyotarajiwa

vijana oyee!
halafu unamkuta Boss Mzee anamnyanyasa au anamharibia kijana wa watu asipande.
yaani wizara ya utumishi iwatizame vijana kwa jicho la kipekee.
vijana wanatakiwa kulelewa na kutunzwa ili wewe viongozi bora na sio kuwaharibia.

sasa unakuta boss mzee anamharibia kazi kijana kwa kumchomekea mambo ya uongo na uzandiki ilimradi tu kumharibia!!!
yaani tanznia mambo ambayo huwezi hata kuamini.
Hongara sana Mama Samia, Rais wetu mpendwa.
viongozi wengine wenye roho mbaya za choyo na wivu, igeni tabia roho njema ya Amiri Jeshi Mkuu
 
Moja ya eneo kubwa sana Magufuli aliloboronga alipoanza uraisi ni ilo eneo la kuteua vijana wa CCM kushika hizo nafasi za wilaya.

Serikali ilibidi itumie hela nyingi sana kwenye semina kuwajengea uwezo tu, wakati tayari ilikuwa na experienced people.

Nadhani hayo makosa ata Magufuli mwenyewe aliyabaini alichofanya kilikuwa costly, wachunguze baada ya uteuzi wake wa awali alioteuea vijana kwa mkupuo hajarudia tena. Ilikuwa mtu akitimuliwa anaweka experience.

Wakuu wa wilaya na wakurugenzi waliopo wengi sasa hivi wameanza kupata uzoefu; halafu kiongozi mwingine anakuja anataka waanze upya.

Huu utaratibu mamlaka ya teuzi inabidi wauangalie (including kuamisha walimu wakuu ovyo) it’s a costly exercise kwenye level nyingi sana achilia mbali consistency lakini hata kwenye kutengeneza team working, supervision, ufanisi wa kuingia mikataba yenye tiba, kuelewa ubora wa wakandarasi.

Ni zoezi ambalo halina maslahi as far as HR goes.
 
Moja ya eneo kubwa sana Magufuli aliloboronga alipoanza uraisi ni ilo eneo la kuteua vijana wa CCM kushika hizo nafasi za wilaya.

Serikali ilibidi itumie hela nyingi sana kwenye semina kuwajengea uwezo tu, wakati tayari ilikuwa na experienced people.

Nadhani hayo makosa ata Magufuli mwenyewe aliyabaini alichofanya kilikuwa costly, wachunguze baada ya uteuzi wake wa awali alioteuea vijana kwa mkupuo hajarudia tena. Ilikuwa mtu akitimuliwa anaweka experience.

Wakuu wa wilaya na wakurugenzi waliopo wengi sasa hivi wameanza kupata uzoefu; halafu kiongozi mwingine anakuja anataka waanze upya.

Huu utaratibu mamlaka ya teuzi inabidi wauelewe (including kuamisha walimu wakuu ovyo) it’s costly kwenye level nyingi sana achilia mbali consistency lakini hata kwenye team working, supervision, ufanisi wa kuingia mikataba yenye tiba, kuelewa ubora wa wakandarasi.

Ni zoezi ambalo halina maslahi as far as HR goes.
Acha kuwe na mabadiliko tu maana wengine ni wezi balaa mpaka Sign za Signatories zinafojiwa.

Tupo kwenye hizi Halmashauri tunajua kinachoendelea.
 
Acha kuwe na mabadiliko tu maana wengine ni wezi balaa mpaka Sign za Signatories zinafojiwa.

Tupo kwenye hizi Halmashauri tunajua kinachoendelea.

Hivyo ☝️ndivyo ilivyokuwa 4/5 years back kila siku seminar za mafunzo kwa wakuu wa wilaya wapya na malalamiko kutoka kwa mawaziri na makatibu wakuu wajirekebisha kwenye usimamizi na kufuata miaka miongozo.

Baada ya miaka mitano urudie kitu kile kile; who does that. Nadhani in the end it’s for a reason Magufuli alikuwa akipangua anaweka civil servants; hayo mambo yanaondoa ufanisi serikalini.
 
Back
Top Bottom