Rais Samia muwajibishe Waziri Mwambe kwa kusema uongo kuhusu Bandari ya Bagamoyo

Samia na serikali yake ni wa kufanyiwa maombi .watanzania tufunge ,tuvae magunia ,tupake majivu tuwaombee viongozi hawa. Mwambe bila aibu anasema Magu alikuwa muongo. Really?

Serikali ina kiburi kama Ile ya nne .shame .kama mambo yalikuwa Sawa Kwa nini mazungimzo .mnazungumza nini sasa .kama Raisi alitudanganya inabidi tuwaajibishe CCM ,period .
Uko sahihi sana ,tumechoka kugeuzwa mazuzu wa wanasiasa uchwara
 
Mazungumzo yamefanyika kwenye mapatano ya awamu ya 4.
Marekebisho ya mapatano ya awamu ya 6 yamefanyika kutokana na makubaliano ya awamu ya 4.
Tukubali kuwa mapatano yalikuwa hayajasainiwa.

Sasa swali kwa Mwambe,
Lini tangazo la Serikali lilitolewa kuwapata wakandarasi kwa mfumo wa awamu ya 6.

Bunge limehusika kwa kiasi gani katika awamu ya 4,5 na 6.
 
Spika wa bunge mh.Ndugai alipata kusema kuwa "VIONGOZI " walipotoshwa kuhusu mradi huo.....

Mh.Mwambe Yuko sahihi kabisa kabisa kabisa......


#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
Dah....nimesikia tu mradi huu ulikwisha sainiwa kitambo sana toka mwaka 1520....mwishoni mwa Vita ya 4 enzi za utawala Chifu Bataya Jimbwete wa Bagamoyo
Chimbuko la mkataba huu inasemekana ni kukamatwa mtoto wa Chifu aitwae Ramazan Kidoti akiwa na unga wa bunduki. Unga huu ulipigwa marufuku Uchina ... Ukikutwa nao adhabu yake ni kitanzi... Sasa ili kumuepusha na kitanzi mwanae Chifu alikubaliana na wachina kuwapa kipande Cha ardhi kwa ajili ya kilimo Cha mpunga ili kumuepusha na adhabu ya kifo....
Miaka 2 baada ya Uhuru makubaliano haya yalionekana ya hovyo kwa wenye akili timamu hivyo kuufutilia mbali.
Baada ya utawala wa kichifu kurejea na Uhuru wa umma kutoweka utekelezaji wa mradi umerejewa kwani lilikuwa Ni deni la kichifu...
Kwa kifupi....mradi wa Bagamoyo Ni deni...na dawa ya deni Ni kulipa...hii nimesikia tu...fullstop
Lisu anasemaje?
 
Jamaa, wakati fulani akiwa TIC ngazi ya uandamizi, alijipambanua kama mtu makini sana kwenye mambo ya biashara na uwekezaji. Leo nimemsikiliza akitema nyongo kutetea mradi wa Bagamoyo. Nini kimemtokea?, naona amegeuka kuwa pipa kama mapipa mengine na mifuniko yake.:oops:
Ukiingi mlango wa kijani akili unaacha mlangoni.
 
kawaida kunakuwaga na makubaliano ya awali kabla ya mkataba wenyewe chief. ndicho kilichotokea. ingekuwa unaweza kuvunja mkataba kirahc hivyo Magu angevunja ya migodi yote ya madin au ule wa gesi kusin.
Ni kweli kunakuwa na makubaliano ya awali kabla mkataba. Na pia nakumbuka marehemu Magufuli aliwahi kusema kuwa "ni mwendawazimu tu angetia sahihi mkataba/makubaliano hayo. Kwa maneno ya Magufuli mkataba ulikuwa haujtiwa sahihi. Tukirudi nyuma mtu haweki jiwe la msingi kwa kitu amabacho anajuwa hakijatiliwa sahihi. Sasa ilikuwaje mkwere akaweka jiwe la msingi, watu wakaanza kuhamishwa na kulipowa fidia. Mimi niavyofikiria hapo kulikuwa na kamtego. Mkwere alikuwana uhakika kuwa Magufuli atautia sahihi mkataba, kwa hiyo akaendelea na uwekaji wa jiwe la msingi. Mkwere ni kweli alijuwa mkataba huo ni kaa la moto. Kwa hiyo akauwandaa lakini amuachie mwingine ndiyo ahusike. Kama kungelipuka, yeye angeukana, na kumbebesha Magufuli. Mkwere aliyokuwa mvivu wa kusoma, mikataba mingi alikuwa haisomi. Aliwaachia kazi yote wachini wake. Lakini Magufuli alikuwa anaoma klila kitu, ndiyo maana aligundua madudu. Hao wote wanaojibaraguza wanajuwa ukweli.

Sasa hivi TZ napona tabia ambayo ni mbovu na unayozuia uwabikaji. Tangu serkali ya kwanza hadi sasa hapakuwa na kulaumu ya serkali za nyuma. Baada ya Magufuli kufariki tumeona kila mtu akijaribu kuelekeza lawama kwa Magufuli wakishindwa kazi. Tunamuona SSH akimlaumu Magufuli. Tunamuona Mwambe akimlaumu Magufuli. Tunaona Makamba akimlaumu Magufuli. Kwa kifupi sasa hivi Mabaya yanayotokea siyo kwa sababu wahusika wameshimndwa, ila wamesjhimndwa kwa sanbabu ya marehemu. Kiongozimwenye uwezo anapofika mahali ni kujitahidi kurekebesha, siyo kutafuta sababu za kushindwa kwake. Afanye vizuri ili aweze kuonekana, siyo kushindwa na kupeleka lawama kwa mtu aliyefariki. Kama mtu alijuwa atashindwa kwa sababu fulani, basi asingeikubali hiyo nafasi. Kwanza pale aklipopelekwa kulikuwa na mtu. Mu huyo aliondolewa kwa sababu alishindwa, sasa wewe unakubali utaeeza na katika miezi miwili unashindwa unaanza visingizio!
 
Jana siku ya tarehe 4/03/2022 DPP Kupitia kifungu cha 91 Cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai aliamua kufuta mashitaka ya Ugaidi dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema na wenzake watatu.

Kwa kupitia kifungu hicho tafsiri yake ni kwamba pale ambapo itaonekana inafaa DPP anaweza yarejesha mashitaka hayo.

Hiyo inamaana kwamba kesi iliondolewa mahakamani bila ya Mbowe kutoa utetezi wake mahakamani na hatimaye mahakama kutoa maamuzi kuhusiana na tuhuma hizo.

Kwakua hakuna hukumu yeyote ile ya mahakama iliyosema kwamba Mbowe hajafanya alichotuhumiwa nacho au kakifanya na kwakua bado DPP anaweza kurejesha tena kesi mahakamani basi kiufundi tunasema kwamba tuhuma dhidi ya Mbowe zinabakia pale pale.

Kwakua tuhuma bado zipo kwakua hakuna rekodi ya mahakama inayomsafisha Mbowe na tuhuma dhidi yake basi kwa manufaa mapana ya Chadema na Taifa kwa ujumla inampasa Mbowe kujiuzulu nafasi yake ya Uwenyekiti na kukaa mbali na siasa za kiushindani.

Inampasa Mbowe kujiuzulu kwani anakosa sifa muhimu ya uadilifu kwani tuhuma dhidi yake ni kubwa na hatarishi kwa ustawi wa Taifa lolote na haitakuwa afya kwa chama kuongozwa na kiongozi ambaye anaishi na tuhuma hizo.


#free Sabaya
Basi ikiwa hivyo tutamsajili kitureal na kumpa uchair, pia tunakushauri ukamshitaki wewe Sasa, kwani wale wamchongo wameiondoa kwa aibu kubwa na bado tunatarajia watulipe fidia chama, wanachama na kiongozi wetu mliyembambikia kesi ya kuchonga🤔
 
Back
Top Bottom