Rais Samia, Mkuu wako wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Khalfan Haule amuweka ndani Afisa Elimu Wilaya kinyume na Maelekezo yako

JAPUONY

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
383
186
Mkuu wa Wilaya ya Musoma amemuweka ndani Polisi Afisa Elimu wa Wilaya ya Musoma Mwl Kalugendo kwa uonevu ati kwa sababu Afisa Elimu huyo alichelewa kuhudhuria Kikao chake cha Chama kilichopangwa kupokea taarifa ya Maendeleo ya Wilaya ya Musoma.

Mkuu huyu wa Wilaya anaenda kinyume na Maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amepiga Marufuku Wakuu wake wa Wilaya kuwaweka Wananchi ndani hovyo bila sababu maalum.

Samia chunguza na kuchukua hatua tafadhali!! Mabega naona yameanza kuwapanda baadhi ya Wateule wako.
 
na Hii suala la Prof Muhongo Mbunge kupitIa CCM

Kumtolea maneno ya Kashifa Bi Pili, Diwani katika kikao cha Halmashauri

Na kumsema Bi Pili kua ni Malaya, anatembea na wanaume ovyoo, japo ameolewa ila amezalishwa na Dreva wake ( muhongo)

Kwamba aliamua kumfukuza Dreva wake sababu amezaa na mke wa mtu, hivo Pili aache umalaya malaya.

Na Anamtukana pasipo uwepo wa Pili, naanamtukana mbele ya Madiwani ..

Hilo limekaaje?
 
Wanasheria watusaidie kuhusu udhalilishaji huu!

Petro E. Mselewa
 
Prof Muhongo ni mtu wa hovyo sanaa na aliyejaa dharau .

Jamaa anayesema hayo, huku akijua Bi Pili ( Diwani) yupo ndani ya ndoa na Mumewe ni Mwenyekiti wa Halmashauri hiyohiyo.

Aliulizwa kwanna ivo?? Anawambia, Waende popote.
Nikisikia MTU diwani. Kuna picha huwa naipata sio nzuri sana
 
na Hii suala la Prof Muhongo Mbunge kupitIa CCM

Kumtolea maneno ya Kashifa Bi Pili, Diwani katika kikao cha Halmashauri

Na kumsema Bi Pili kua ni Malaya, anatembea na wanaume ovyoo, japo ameolewa ila amezalishwa na Dreva wake ( muhongo)

Kwamba aliamua kumfukuza Dreva wake sababu amezaa na mke wa mtu, hivo Pili aache umalaya malaya.

Na Anamtukana pasipo uwepo wa Pili, naanamtukana mbele ya Madiwani ..

Hilo limekaaje?
Duh!
Hatari na nusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom