Rais Samia, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi - Singida achunguzwe na TAKUKURU. Madaftari ya million 10?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Ujumbe huu ukufikie wewe Rais wangu mpendwa pamoja na DG mchapakazi wa PCCB CP Salum Hamdun. Nibkuhusu DC Wilaya ya Ikungi Ndg Edward Mpogolo kugawa madaftari yenye thamani ya million 10.

Inawezekanaje wakati huu wa Likizo DC anagawa madaftari tunayoambiwa yana thamani ya milion 10 kwa shule 15 ambazo ni madarasa machache tu ambayo wanafunzi wake wanasoma wakati huu wa Likizo? Tena si wanafunzi wote, wengine wako likizo.
Hizi pesa katika wapi na kwa utaratibu upi kama siyo kupitia mianya yenye mashaka?

Wakazi wa mji wa Ikungi tunaomba uchunguzi ufanyike kwa DC na DED wa Wilaya hiyo, hizo pesa zimetoka kwa utaratibu upi? Kuna mashaka makubwa hapa

Mheshimiwa Rais wangu mpendwa na mwenyekiti wangu wa chama changu taifa, kama kuna mkeka wa Ma- DC uko mbioni kutoka ukaacha huyu mtu atakusngusha katika utekelezaji wa ilani yetu ya CCM. Huyu DC tangu uchaguzi wa kura za Maoni alituhumiwa kutumiwa mbunge wa jimbo la Singida Magharibi ndio kugawa pesa kuhonga wajumbe mpaka alikua akilala usiku porini na huko na wajumbe akikutana nao usiku wa manane.

.
Screenshot_20210616-225426~2.png

Screenshot_20210616-225426~2.png
 
Back
Top Bottom