Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari


Kwa kauli hii ya Rais SSH maswali mengi nimejiuliza na sijapata jibu. Msaada wenu wanaJF:

Nini kimetokea hadi hadharani kutamka hivyo?

Je, kauli ni kuashiria Ukabila, Udini au Uzanzibari ndani ya moyo wake?
 
Nimeshakupa jina fatilia uone Kama nimekudanganya
huyo wako unamjua wewe mkuu
FBg-63-XEAAFUun.jpeg
 
naibu waziri wa Afya ni mollel na juzi aliongea na waandishi wa habari akiwa Arusha
Nimekupa jina inawezekana wizara Ina manaibu wawili , taarifa ya habari ya it wamemsema ulienda Google ukitafuta naibu waziri wa afya linakuja Hilo jina la mwanaidi unachobisha ni Nini?
 
Back
Top Bottom