Rais Samia, Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara ya mwisho juu ya polisi, nanawa mikono juu yao

Wewe shida yako ni Siro TU na wala si jeshi la polisi. Kama una mtu wenu mpigie debe awekwe tu na sio unwamgushie jumba bovu Siro.

Jeshi la polisi miaka na miaka liko hivo na unajua kabisa lina mfumo mbovu na linaendeshwa na siasa hata ukimuweka Arnold Shwazteineger aka Komando John wa Jeni na Rambo hakutakuwa na mabadiliko. Ni mfumo mzima wa Jeshi la polisi na siasa zake.

Unamkumbuka Ernest Mangu sijui mlimtoa Interpol? Alikuja akafanya yake na watu wake mkamtoa akakaa pembeni.

Sasa embu suggest unataka Rais amuweke nani pale panyoke Tanpol?

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Tushindwe kulipa madeni waje Polisi wa Kichina
 
Kwa hiyo wenye div one ndio wawe polisi? Mwanasaikolojia na falsafa wa kigiriki/uyunani ya kale aitwaye PLATO aliishang'amua kazi za kufanya kulingana na IQ za watu. Wanaokuwa polisi ndio daraja lao kulingana na uchunguzi wa PLATO.
 
Kuna vijana wazuri sana polisi, tena wana weledi.
Nimeshuhudia nilipoibiwa gari wakati fulani.
Tatizo kubwa polisi wanaoenda shortcuts za kupiga watu na kuwavunja miguu, kwanza ni wale wasio na akili sana.
Pili kukosa vitendea na tatufedha na mafungu ya kufanyia kazi.
Gari langu lilipatikana baada ya kumwaga mpunga wa ufuatiliaji huko na huko.
Kwamba uliwalipa kwa kufanya majukumu Yao?
Wasionacho watapate huduma toka kwa polisi?
 
Kwa hiyo wenye div one ndio wawe polisi? Mwanasaikolojia na falsafa wa kigiriki/uyunani ya kale aitwaye PLATO aliishang'amua kazi za kufanya kulingana na IQ za watu. Wanaokuwa polisi ndio daraja lao kulingana na uchunguzi wa PLATO.
Ndio kusema iron silver and golden
 
Una uhakika hao wabambikia watu kesi ni form four failures?

Muache unazi muda mwingine jamani...

Mbona inajulikana kabisa kuwa wenye vyeo vikubwa majeshini (polisi jkt jwtz nk) siyo form four

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kwamba uliwalipa kwa kufanya majukumu Yao?
Wasionacho watapate huduma toka kwa polisi?
Usipoelewa utendaji wa polisi nchi hii utaishia deski la malalamiko.
Na kumbuka kuwa huwalipi, unachangia nyenzo za mali yako kupatikana.
Mfano: aliyekuibia yuko Kahama na tunajua askari mpaka apewe fungu toka kasma ya serikali, mhalifu wako atakuwa kisha yoyoma kusikojulikana.
Lakini unampa mpelelezi nauli, kesho yake anakamatwa.
 
Kuhusu suala la ajira hususan sifa ukiangalia in all dimensions kuna changamoto. Mosi, sioni degree holders wakibeba mabunduki kwenda kulinda makazi ya viongozi na familia zao; kwenye hili polisi wana hoja ya kuajiri F4.

Pili, polisi ndio wapelelezi, waandaa mashaka, na watoa ushahidi mahakamani. Hili linahitaji weledi wa kisomi so at least degree holders would be appropriate.
Mkuu hiyo namba moja nakupinga..maslahi yakiboreshwa hata mwenye Masters atakubali kua Polisi.
 
Usipoelewa utendaji wa polisi nchi hii utaishia deski la malalamiko.
Na kumbuka kuwa huwalipi, unachangia nyenzo za mali yako kupatikana.
Mfano: aliyekuibia yuko Kahama na tunajua askari mpaka apewe fungu toka kasma ya serikali, mhalifu wako atakuwa kisha yoyoma kusikojulikana.
Lakini unampa mpelelezi nauli, kesho yake anakamatwa.
Kwani huko Kahama hawapo polisi wa kumkamata huyo mhalifu? Na,je akikimbilia Canada bado utatoa nauli afuatwe huko? Sema tu unasilika ya kupenda kutoa rushwa.
 
Askari nao wakamwuliza, wakisema, Sisi nasi tufanye nini? Akawaambia, Msidhulumu mtu, wala msishitaki kwa uongo; tena mtoshewe na mshahara wenu.
Luka 3:14
 
Mh Rais Samia

Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara nyingine tena ili kusiwe na hatia juu yako Ila ni wazi kabisa polisi wetu wanakuchafulia na kukutia doa utawala wako.

Mpumzushe Sirro msaidie apumzike kwa heshima jeshi la polisi chini yake limechafuka Sana na Askari wengi wanaumizwa na lawama zinazotupiwa jeshi Lao wanaona hawatendewi haki na wanakuwa victimized unnecessary kwasababu ya watu wachache.

Halafu mh rais tuko kwenye dunia inayojali sana professionalism kwanini unaajiri polisi waliofeli kidato cha nne? Ilhali Kuna wasomi kibao mtaani wenye degree na wanafani? Hivi huyu form four failure mpaka astahafu atakuwa ameleta damage kiasi gani kwa jamii iliyostaarabika? Mh rais hawa ndio watavunja watu miguu makusudi watawawekea bangi watu makusudi ili wawabambikie makesi na mambo mengine CHUNGU nzima.

Ni wito wangu kwa wanaomshauri Rais wakati ni Sasa kuilinda hadhi ya serikali na heshima ya rais mnalipwa kwa kazi hiyo. Kesi kama ya mbowe inamtibulia tu rais maji kisimani yawe machafu yasifae kunywa lakini yote hii shida ni polisi kwani hata kama wanatumwa na wanasiasa kufanya wanayoyafanya dhidi ya raia wema hata wao polisi sio smart enough kupanga maishu yasiyoacha alama.

Naishia hapa nimemshauri rais wangu kwa upendo nanawa mikono yangu Kama sitasikikizwa.
 
Polisi wa nchi hii wamekengeuka mno kwa kuwa wanajiona kuwa ni sehemu ya CCM (poliCCM), hivyo kwa akili yao wanajiona kama sehemu ya muhimili wa serikali.
 
Uzi huu niliuandika kitambo kidogo tokea hapo polisi wamekuwa wabaya said maradufu na siro bado yupo mnamlea.
 
Mkuu pamoja na ubovu wa jeshi la polisi Ila siro kwasasa amefikia climax ya uhovyo kabisa. Nakupa mfano mdogo juzi kasema wao Kama polisi hawana shida na mikutano ya ndani Sasa swali linakuja Kama ndivyo kwanini 100% ya mikutano ya chadema inazuiwa na 100% ya ccm inakubaliwa? Ukiona mkutano wa ndani wa CHADEMA umekubaliwa Basi ni ile iliyotengenezwa na ccm wenyewe kupitia uvccm halafu wanawapa maneno ya kumchafua mbowe na cdm.
Mkuu umeongea jambo la kweli 100%. Tangu CCM walipoingiza jeshi la polisi kwenye siasa ndipo mambo yalipoanza kuharibika kwa kuwa polisi wanajiona kuwa sehemu ya muhimili wa utawala.
 
Back
Top Bottom