Mbona kama hiyo ni ramli chonganishi,labda utupe utambulisho wa ukanda unaotokea,ili tukuhukumu kwa haki.Wimbi la tatu tayari lipo vyumbani. Watajwa hapo juu kama kweli bado hawajapata chanjo ya covid19 basi wachukue tahadhari ya juu sana sana sana; covid19 inaweza elekezwa kuwapenda wao zaid...
Wapi huko mkuu!!? Du balaaBaba mmoja ameugua gafla na kufa baada ya masaa kupita na Mke wake kafata, jamani watanzania wenzangu tujikinge corona IPO na inafanya Nazi