#COVID19 Rais Samia: Miji mikubwa ya Tanzania tayari imekumbwa na wimbi la tatu la Covid-19

Wimbi la tatu tayari lipo vyumbani. Watajwa hapo juu kama kweli bado hawajapata chanjo ya covid19 basi wachukue tahadhari ya juu sana sana sana; covid19 inaweza elekezwa kuwapenda wao zaidi.

Wajuzi wa mambo watakuwa wameshanielewa vyema kabisa kabisa. Sababu za upendo huo zipo wazi kabisa. Wachukue tahadhari, wachukue tahadhari, na wachukue tahadhari.

Au nasema uongo ndugu zangu!

Uviko19 in 2021
 
Wimbi la tatu tayari lipo vyumbani. Watajwa hapo juu kama kweli bado hawajapata chanjo ya covid19 basi wachukue tahadhari ya juu sana sana sana; covid19 inaweza elekezwa kuwapenda wao zaid...
Mbona kama hiyo ni ramli chonganishi,labda utupe utambulisho wa ukanda unaotokea,ili tukuhukumu kwa haki.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom