Rais Samia mgeni rasmi mkutano wa 20 wa Taasisi za Fedha ulioandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania ( BoT)

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,615
141,439
Mkutano wa 29 wa taasisi za fedha nchini unafanyika jijini Dodoma leo hii na muda huu mgeni rasmi ni Rais wa JMT mh Samia Suluhu Hassan.

Tuko mubashara TBC, ITV, Channel ten na Upendo tv.

Updates;
 
Yani nilipie Dstv yangu kuangalia hizi channel chovu?

Labda mpaka kifurushi changu cha dstv kiiishe.
 
Ufike muda tuanze kupokea feedback ya nini kimefanyika kuliko maneno matupu wakati watu wanamacho wakionyeshwa kile kilichofanyika Imani yao kwa serikali itaongezeka na hizi ahadi kama kipindi cha kuomba kura zipungue muda umekwenda sana tangu watoe ahadi vitu karibu vyote vilivyoahidiwa hatuoni kilichokamilika kama ni hizo riba kupungua bado, kama ni barabara vijijini hatuoni, barabara za mjini hatuoni, viwanja vya ndege vingapi vimeongezeka hatuoni, hela za mikopo ya wamachinga hatuoni, ajira na viwanda hivyo hivyo Sasa tunaomba feedback tu nini kimefanyika.
 
Hata ile alisema tozo itapungua kwa 30% impact yake ni ZERO ;Wananchi wanazidi kuumia huku mama akiaminishwa kuwa wananchi wamekubali TOZO ya miamala ya simu!!! Hiyo sensa kuwa wananchi wamekubali hizo TOZO za miamala ya Simu ilifanyika lini? Ukweli ni kwamba CCM isipoangalia hizi TOZO za miamala ya Simu ndio itakayoipeleka KIBRAi!!
 
Back
Top Bottom