Rais Samia mgeni rasmi "KiziMkazi Day" Festival Visiwani Zanzibar Jumamosi Agosti 28

Ninadhani Rais yuko sahihi kuhudhuria Tamasha la kozi Mkazi,ingekuwa siyo vizuri Kama angekataa mwaliko wa wananchi wake, busara inataka kutenga muda kwenda kuhudhuria tamasha hilo Kama anavyohudhuria matamasha mengine sehemu zingine za nchi .Na kazi iendelee.
 
Kwanini ilikuwa nongwa kwa Hayati Magufuli kufanyia mambo kadha wa kadha huko kwao Chato, na inaonekana ni sawa kwa Samia kuelekeza makongamano na warsha mbalimbali huku akikusanya viongozi karibia wote wakuu wa kitaifa, na hakosolewi kama alivyokuwa akikosolewa Magufuli?!
 
Mahufuli alikuwa King of Impunity au perpertual law breaker. Sikuamini alivyowaapisha kina Mwigulu Nchema na Dr Mollel barazani kwa nyumba yake.

Yule mtu kwa kweli angetufikisha pabaya sana bila Mungu kuingilia kati pale Machi 17, 2021
 
Alikuwa shetani katika mwili wa kibinadamu.

Magereza yangekuwa yamejaa wafungwa wa kesi za kumtukana rais.

Manina limekufa kifo kibaya cha laana
 
Mkuu inatosha. Msamehe tu kama Tundu Lissu, wazazi wa Ben saa 8, mjane wa Azzory, Binti aliyeachwa yatima anayeishi na Lema kwa sasa, hata mimi vyeti fake niliyekuwa nimebakiza siku 5 kustaafu nikakosa kiinua mgongo changu.
 
Kwanini ilikuwa nongwa kwa Hayati Magufuli kufanyia mambo kadha wa kadha huko kwao Chato, na inaonekana ni sawa kwa Samia kuelekeza makongamano na warsha mbalimbali huku akikusanya viongozi karibia wote wakuu wa kitaifa, na hakosolewi kama alivyokuwa akikosolewa Magufuli?!
Fanyeni juu chini mtuletee picha yake hapa ili mizani ipimwe na jukwaa lililobobea katika "checks & balance" to challenge the double standards being currently practiced purportedly for unknown reasons.
 
Kwanini ilikuwa nongwa kwa Hayati Magufuli kufanyia mambo kadha wa kadha huko kwao Chato, na inaonekana ni sawa kwa Samia kuelekeza makongamano na warsha mbalimbali huku akikusanya viongozi karibia wote wakuu wa kitaifa, na hakosolewi kama alivyokuwa akikosolewa Magufuli?!
Usichanganye mchele na pumba, Dikteta Magufuli alikuwa anajenga Chato kwa kupora fedha za umma bila utaratibu wakati Samia bado hajafanya hivyo!
 
Back
Top Bottom