Kama Serikali haijui la kufanya basi hiyo no hatari zaidi. Chini ya ardhi kuna maji mara ishirini ya maji kwenye uso wa nchi. Hata Hilo hawawezi Bali kulalamika mifugo na kilimo. Sasa maji yatakuwa na maana gani Kwa nchi iwapo hayatumiki kwa ajili ya kilimo, mifugo na shughuli nyingine za maisha (livelihoods) ya binadamu?!Janga gani na wewe? Yaani huoni haya mabadiliko ya tabia ya nchi? Joto kali sana na maeneo mengine kama Morogoro mvua haijanyesha kabisa, na hii ni November inaenda mwishoni. Yeye afanyeje kama maji yamepungua kutokana na sababu hizo? Kazi tu kukariri corus bila ya kufanya tafakari.
Mbinu mlizotumia five years ago kwanini mstumie hiyo hiyo maana mambo yenu hayajabsdirikaDar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji.
Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku.
Tatu ni ukataji miti hovyo hali inayoharibu ikolojia ya nchi.
Nne ni tatizo la tabia nchi.
Hivyo mgao wa maji hauepukiki
Na kwahiyo naagiza Wakuu wote wa mikoa kuweka ulinzi katika mito yote ili kulinda maji ya watu wetu.
========
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anatambua Miji mingi mikubwa inakabiliwa na uhaba wa maji unaopelekea mgao wa maji na upungufu wa umeme
Amesema hiyo imetokana na mambo mawili makubwa ambayo ni Ubishi na ukaidi wa wanadamu na Kudra za Mungu
Amefafanua, "Bado kuna wananchi wengi wameendelea kuvamia vyanzo vya maji kwa kuyachepusha kwa ajili ya matumizi mengine. Pia, kuna watu wanalima karibu na vyanzo vya maji. Haya yote yanapelekea Vyanzo vya Maji kupungua"
"Nimefatana na viongozi wote hawa wa dini kwanza, kufuatana na viongozi wa dini wote hawa ni baraka kama kuna mapepo huko njiani yanapeperuka, pili nimeipa heshima Mwanza, tutaanza hapa dua za kuomba mvua zenye neema kwa Taifa letu"-Rais Samia.
Okay Praise teamNenda Morogoro ukaone mifugo inavyokausha mito!
Si tuu wamevamia alipofariki bali aliwaacha wanaharibu vyanzo miaka yote kwa kisingizio cha wapiga kura,stupid yule mtu mjingaKwahiyo hao watu wamevamia Magu alipofariki au?
Wewe ni mjinga, mwenye chuki na boya.Amesema anatambua miji mingi mikubwa,do you understand wewe kiazi?Anaeleza habari ya Dar kukosa maji, mbona haelezi Mwanza kukosa maji na ziwa lipo hapo jirani?
Enzi za JPM wanadamu waliacha ubishi?Dar es Salaam kuna mgao mkubwa wa maji kwa sababu mto Ruvu umevamiwa na binadamu na kuchepusha maji.
Pili maelfu ya mifugo yanayoingizwa kwenye mito kunywa maji yamepunguza kiasi cha maji kwani ng'ombe mmoja kwa mfano hunywa lita 40 za maji kwa siku.
Tatu ni ukataji miti hovyo hali inayoharibu ikolojia ya nchi.
Nne ni tatizo la tabia nchi.
Hivyo mgao wa maji hauepukiki
Na kwahiyo naagiza Wakuu wote wa mikoa kuweka ulinzi katika mito yote ili kulinda maji ya watu wetu.
========
Rais Samia Suluhu Hassan amesema anatambua Miji mingi mikubwa inakabiliwa na uhaba wa maji unaopelekea mgao wa maji na upungufu wa umeme
Amesema hiyo imetokana na mambo mawili makubwa ambayo ni Ubishi na ukaidi wa wanadamu na Kudra za Mungu
Amefafanua, "Bado kuna wananchi wengi wameendelea kuvamia vyanzo vya maji kwa kuyachepusha kwa ajili ya matumizi mengine. Pia, kuna watu wanalima karibu na vyanzo vya maji. Haya yote yanapelekea Vyanzo vya Maji kupungua"
"Nimefatana na viongozi wote hawa wa dini kwanza, kufuatana na viongozi wa dini wote hawa ni baraka kama kuna mapepo huko njiani yanapeperuka, pili nimeipa heshima Mwanza, tutaanza hapa dua za kuomba mvua zenye neema kwa Taifa letu"-Rais Samia.
Kuna team kubwa ipo humu jf, either kimakusudi au bahati mbaya, ambayo ina hakikisha negative energy ina spread kwa watu kuliko positive energy, ndo maana unaeza ongea kitu kinacho make sense lakini bado mtu akaku criticiseNg'ombe mmoja anakunywa lita 40 kwa siku ama kweli mama kafungua nchi wallah!!
Nendeni Sasa na Gwajiboy mkamfufueTangia Magufuli afariki,watu wanajikatia miti hovyo tu kwenye mapori,pita lile pori la Biharamulo,pita pori la Geita kwenda Katoro,yaani utafikiri hakuna wasimamizi
Acha kutete ujinga wewe tuba maziwa mangapi? Tuna mito mingapi isiyokauka kwa vipindi vyote vya mwaka? Kwanini wasitoe maji kwenye vyanzo vya uhakika? Ninyi mnaona tuna viongizi apo?Janga gani na wewe? Yaani huoni haya mabadiliko ya tabia ya nchi? Joto kali sana na maeneo mengine kama Morogoro mvua haijanyesha kabisa, na hii ni November inaenda mwishoni. Yeye afanyeje kama maji yamepungua kutokana na sababu hizo? Kazi tu kukariri corus bila ya kufanya tafakari.
Kanda ya ziwa mna ng'ombe wengi wanakunywa maji na kukausha ziwaKwa hiyo ziwa victoria nalo limekauka sababu ya ukame? Au unafikiri wote wanategemea maji ya kutoka kwenye mito?
Maji ya mradi wa ziwa Victoria nayo hayatoki Sasa hivi, hebu tupe sababu
Tynaongozwa na vipofu lakini wabishi wanajifanya wanaona matokeo wote shimoniMnamsingizia Mungu bure. Tanzania kwa Afrika inapitwa na Congo tu kwa kuwa na maji baridi Mengi. Sasa mnataka nini awafanyie?
Kinachoendelea hapa ni mfano halisi wa "In abundance of water the fool is thirsty."
Tatizo siyo Mungu wala ukaidi, tatizo ni uzembe.
Waandamane waondoe mizigo IkuluMnaimiza vijana wajiajiri kupitia kilimo, Kijan akipambana kuchimba mfereji kuchukua maji ya mto kwa ajili ya umwagiliaji wa shamba lake leo hii anaonekana Mbaya.
Hiyo mifereji mnayoiziba maji yasiende kumwagilia mashamba ya watu wamejiajiri kupitia kilimo, mazao yao yatakauka watakosa chakula njaa itawakumba kipato chao kitashuka matokeo yake Ndoa zitavunjika na family.
Wakianza kuuza vitu Kuwa wamachinga vibanda vyao mnavunja na kuwafukuza mjini hawa vijana waende wapi
Rais na watendaji wako mnakula vizuri hiyo mifereji mnao zuia maji wezenu wanategemea kilimo
Mungu anawaona
Miaka yote hiyo mifereji ya maji kwa ajili ya umwangiliaji ilikuwa hakuna
Sasa unamlaumu rais Samia kwa lipi? Ulitaka ndani ya mwaka mmoja wa urais wake awe ameshavuta maji kutoka katika hayo maziwa unayoyasema? Unafikiri sawasawa kweli? Sote tunakubaliana kuwa serikali kwa ujumla wake ilipaswa iwe imeshafanya jambo tangu hapo nyuma, lakini kushusha lawama za hali ya sasa kwa rais Samia peke yake ni chorus zilezile za kumchukia.Acha kutete ujinga wewe tuba maziwa mangapi? Tuna mito mingapi isiyokauka kwa vipindi vyote vya mwaka? Kwanini wasitoe maji kwenye vyanzo vya uhakika? Ninyi mnaona tuna viongizi apo?