Rais Samia, Mbowe aliyeko Mahabusu leo hii, anapigania Katiba ambayo kesho inaweza kuja kuwa msaada kwa wajukuu au vitukuu wako

Rais wa JMT kwa Katiba hii anaweza hata kuifutilia mbali CCM yenyewe,Bunge,Sheria,Mkoa,Wilaya au hata uraia wa Mtanzania yeyote bila kuhojiwa na yeyote.
Hatari ni kubwa mno na hakuna aliye salama kama tulivyoshuhudia majuzi.
Wenye akili TU ndio wanaoweza kuona haya ndugu yangu
 
Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba Mpya kupitia chama chake(CHADEMA).

Rais Samia na wasaidizi wako, naomba niwambie tu kuwa Katiba ambayo Mbowe na chama chake wanaipigania, inaweza kuja kuwa msaada kwa watoto na wajukuu zenu kuliko hata kwa watoto au wajukuu wa Mbowe mwenyewe.

Tambueni, kwa Katiba hii, kesho anaweza kuja Mtawala ataeamua kuwanyang'anya mali mlizonazo kwa kuwatuhumu tu kuwa mali hizo mlizipata visivyo halali kupitia nafasi zenu kama viongozi wakuu wa nchi hii.

Hilo au lingine lolote la kufanana na hilo lkitokea, watao-suffer zaidi ni watoto, wajukuu au vitukuu wenu, na wala si watoto, wajukuu au vitukuu wa Mbowe.

Kumbukeni Sumaye kulalamika kuporwa mashamba yake wakati wa Magufuli na wengine kuambiwa wanawashwawashwa, hivyo kesho inaweza kuwa ni zamu yenu.

Katiba yetu ni mbovu kupindukia na ni katiba hii ndio ilipelekea watu kubambikiziwa kesi kitendo ambacho wewe kama Rais, ulikiilalamikia hadharani na ukaagiza kesi za aina hiyo zifutwe.

Jambo lingine,nyie kuwa wana-CCM, haimanishi kuwa watoto, wajukuu au vitukuu wenu watakuwa wana-CCM au wataiva na watawala wajao, hivyo kuna hatari watoto,wajukuu au vitukuu wenu kuja kutofautina na mtawala wa wakati huo na akawashughulikia kama jinsi ambavyo Mbowe leo hii anashughulikiwa.

Utawala wa Magufuli unapaswa kutufunza watanzania ubaya na hatari wa hii katiba, na tusipojifunza, iko siku tutakuja kupata Mtawala ambae tutamuona hata Magufuli alikuwa nafuu.

Maneno haya mnaweza msiyapende, ila iko siku mnaweza kuyakumbuka na tambueni leo nafasi zenu, hakuna anayeweza kuwaambia maneno kama haya isipokuwa sisi wananchi wa kawaida kupitia mitandao kama nilivyofanya kupitia hapa JamiiForums.

Kumbukeni huu msemo: Majuto ni mjukuu.
Wakibisha wamuulize jk, membe, liz-one, makamba , kinana, mangula,
 
Mbowe hapiganii Katiba wewe zu.zu acha kudanganya watu! Mbowe anataka apewe platforms ya kuhalalisha matumizi ya fedha za ruzuku na fedha za wafadhili.
Platforms anazotaka ni za kufanya mikutano ya hadhara ( anajua atapata mazombie mengi ya kumsikiliza kama kawaida yake) na pia maandamano ya vurugu za kijinga !
Katiba tu ya CHADEMA ina mapungufu kibao mmeshindwa kurekebisha mnataka Katiba Nchi.
Katiba ya CHADEMA ,Mwenyekiti hana ukomo ni hadi ajisikie kuacha nafasi hiyo! Nasikia Mbowe anajisikia kuiachia hiyo nafasi 2023 na Mazombie yake yanachekelea tu!
Kina Halima Mdee na wenzake wamekata rufaa kuhusu kufukuzwa kwao lakini hata kabla rufaa zao hazihasikilizwa uchaguzi ulishafanyika kujaza nafasi zao! Unajaza nafasi ambazo bado zimekakuwa! UJINGA MTUPU! Halafu eti kuna kiduku mjinga mmoja amekimbilia Ubeligiji kutawaza Wazee eti anajiita Mwanasheria Nguli na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA! UJINGA MTUPU!
Wisdom ni kusafisha nyumba yako kabla hujanyooshea kidole uchafu ulioko nyumba ya jirani!
Oneni jinga Hili! Mbowe na chama chake wanaunga mkono rasimu ya warioba, ambayo inamawazo ya wananchi wote.

Wanataka serekali irudishe bunge la katiba Ili rasimu ipitishwa
Huyu zuzu anadai eti mbowe anadai katiba ya upuuzi gani sijui ...

Hivi kuna gaidi anaweza taka katiba ambayo itazuia asifanye ugaidi au itafanya aadhibiwe kwa kufanya ugaidi

Hizi ndo akili za maccm majinga jinga
 
Mbowe hapiganii Katiba wewe zu.zu acha kudanganya watu! Mbowe anataka apewe platforms ya kuhalalisha matumizi ya fedha za ruzuku na fedha za wafadhili.
Platforms anazotaka ni za kufanya mikutano ya hadhara ( anajua atapata mazombie mengi ya kumsikiliza kama kawaida yake) na pia maandamano ya vurugu za kijinga !
Katiba tu ya CHADEMA ina mapungufu kibao mmeshindwa kurekebisha mnataka Katiba Nchi.
Katiba ya CHADEMA ,Mwenyekiti hana ukomo ni hadi ajisikie kuacha nafasi hiyo! Nasikia Mbowe anajisikia kuiachia hiyo nafasi 2023 na Mazombie yake yanachekelea tu!
Kina Halima Mdee na wenzake wamekata rufaa kuhusu kufukuzwa kwao lakini hata kabla rufaa zao hazihasikilizwa uchaguzi ulishafanyika kujaza nafasi zao! Unajaza nafasi ambazo bado zimekakuwa! UJINGA MTUPU! Halafu eti kuna kiduku mjinga mmoja amekimbilia Ubeligiji kutawaza Wazee eti anajiita Mwanasheria Nguli na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA! UJINGA MTUPU!
Wisdom ni kusafisha nyumba yako kabla hujanyooshea kidole uchafu ulioko nyumba ya jirani!
Mbowe hata tengeneza katiba peke yake usiwe mjinga katba itatengenezwa na watanzania wote hatimae tupate mihimili huru ndio mengine yafuate hivi nyie CCM hamuoni Kuna shida pahali? Kwanin hamuwazi vitu vya kujenga Mungu kawalaani au?
 
Binafsi, kama ilivyo kwa wengi, siamini Mbowe ametenda kosa lolote la ugaidi, bali naamini mashtaka haya ni ya uongo na ni ya kisiasa zaidi chanzo kikiwa ni yeye kuongoza harakkati za kudai Katiba Mpya kupitia chama chake(CHADEMA).

Rais Samia na wasaidizi wako, naomba niwambie tu kuwa Katiba ambayo Mbowe na chama chake wanaipigania, inaweza kuja kuwa msaada kwa watoto na wajukuu zenu kuliko hata kwa watoto au wajukuu wa Mbowe mwenyewe.

Tambueni, kwa Katiba hii, kesho anaweza kuja Mtawala ataeamua kuwanyang'anya mali mlizonazo kwa kuwatuhumu tu kuwa mali hizo mlizipata visivyo halali kupitia nafasi zenu kama viongozi wakuu wa nchi hii.

Hilo au lingine lolote la kufanana na hilo lkitokea, watao-suffer zaidi ni watoto, wajukuu au vitukuu wenu, na wala si watoto, wajukuu au vitukuu wa Mbowe.

Kumbukeni Sumaye kulalamika kuporwa mashamba yake wakati wa Magufuli na wengine kuambiwa wanawashwawashwa, hivyo kesho inaweza kuwa ni zamu yenu.

Katiba yetu ni mbovu kupindukia na ni katiba hii ndio ilipelekea watu kubambikiziwa kesi kitendo ambacho wewe kama Rais, ulikiilalamikia hadharani na ukaagiza kesi za aina hiyo zifutwe.

Jambo lingine,nyie kuwa wana-CCM, haimanishi kuwa watoto, wajukuu au vitukuu wenu watakuwa wana-CCM au wataiva na watawala wajao, hivyo kuna hatari watoto,wajukuu au vitukuu wenu kuja kutofautina na mtawala wa wakati huo na akawashughulikia kama jinsi ambavyo Mbowe leo hii anashughulikiwa.

Utawala wa Magufuli unapaswa kutufunza watanzania ubaya na hatari wa hii katiba, na tusipojifunza, iko siku tutakuja kupata Mtawala ambae tutamuona hata Magufuli alikuwa nafuu.

Maneno haya mnaweza msiyapende, ila iko siku mnaweza kuyakumbuka na tambueni leo nafasi zenu, hakuna anayeweza kuwaambia maneno kama haya isipokuwa sisi wananchi wa kawaida kupitia mitandao kama nilivyofanya kupitia hapa JamiiForums.

Kumbukeni huu msemo: Majuto ni mjukuu.
Wewe si mfuasi wa Mbowe utaamini vipi, Mbowe hajafanyiwa uonevu wowote.
Yeye alitangaza mapambano na rais Samia , je alitegemea rais wa nchi atapambana naye kwa maneno ya mipasho au atapambana na vyombo vilivyo chini yake?

Aliposema hatupo tayar kumpa muda rais kuhusu katiba maana yake ni kuwa watapambana nae.
 
Mbowe yupo gerezani siku ya 8 leo, makamanda mpo bize kuendeleza mapambano mtandaoni kwa kutumia fake IDs. Na sasa yamepita masaa 96 tangu Mbowe awe charged, lakini hakuna tamko lolote kutoka kwa viongozi wenu.
Wewe siku hizi huna hoja.
 
Back
Top Bottom