Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,404
Yaani unamlinganisha Rais wa nchi na wanasiasa wa vyama vya upinzani?Kwali MATAGA hamnazo!
Yaani unamlinganisha Rais wa nchi na wanasiasa wa vyama vya upinzani?Kwali MATAGA hamnazo!
Mkuu vipi umemhama mwenyekiti wetu kwa kuwa Rais JPM hatunaye tena ?!!!Wanafuata nyayo, baada ya kuona Hangaya ni bi safari.
Hakuna kitu zaidi ya hapo,muda watoto wa mujini kula nchi.Kumbe ni kugombania per diem😂😂😂😂
Nchi Kwanza.Mkuu vipi umemhama mwenyekiti wetu kwa kuwa Rais JPM hatunaye tena ?!!!
Nchi ipo mkuu.....
CCM ipo hata baada ya utawala wa awamu ya 6 mkuu......
#Siempre CCM🙏
Kawawekea mentor sio monitorRais hutakiwi kuonyesha huna confidence na watu uliowateua mwenyewe hata wiki haijapita..
Mkutano wa leo kwa nchi za wenzetu wanachofanya ni Rais kutueleza track record na sifa za kila mteule zilizofanya akamteua.
Huyu kwa kwetu mswahiliiiiii… anawaambia kila mtu ana uwezo tofauti, kila mtu ajue mahala pake, msigombanie mlo, na nitawawekea babu Ikulu wa kuwa monitor….
Tena ruksa mbuzi kula urefu wa kamba yakeHakuna kitu zaidi ya hapo,muda watoto wa mujini kula nchi.
Unakuta Waziri anaanza Safari Dodoma-Tabora-Katavi-Rukwa-Songwe-Mbeya-Iringa-Morogoro-Pwani-Dar then anarejea Dodoma baada ya wiki 3 za Per diems
Ndahani wapeni muda tutaona mengi kwenye hii regime.Tena ruksa mbuzi kula urefu wa kamba yake
Ila jamani tuwe wakweli, per diems & transport allowances huwa zina utamu wake. Zinapunguza sana "financial stresses" kwani humfanya mnufaika kupata ziada zaidi ya wale waliobakia ofisini.
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake.
Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi.
Rais amesema amewahi kuwa Waziri na hakuwahi kuwa na ugomvi na Naibu wake kwa kuwa alikuwa anajua nafasi yake.