Rais Samia maliza kazi ipapatue Zanzibar kwenye makucha ya mkoloni mweusi

Vitimba kwiri kama nyinyi ndio mnaishi na kuganga njaa zenu kwa uwepo wa huu Muungano.Kufuata ya magufuli hilo sahau,waswahili tuna msemo changanuzi...imetoka hio... kwa hivyo ya magufuli ameachiwa Magufuli na hayo Wazenjibar hayatuhusu,ndio hayo yaliomo kwenye zigo.

Na wale msiofahamu nyie wavamizi wa siasa, Hii Nchi haiitwi Jamhuri ya Tanzania inaitwa United Republic of Tanzania ,guguli kwa kiswahili uone tafsiri yake.

Kama wajumbe wa Raisi Samia wanapitia haya maandishi wamfikishie ili ajiridhishe na auone ukweli,amezungukwa na mipapa usingizi. Hakuna cha kutatua kero ni kufanya awezavyo aipapatuwe Zanzibar na kipindi ndio hiki.

Halafu watu hawa wasivyokuwa na kheri,wanashindwa hata kuilipa Zanzibar deni lake la mamilioni ya dola za kimarekani ,wametia pamba za masikio wamesahau kama Benki Kuu kuna sheya ya Zanzibar na Zanzibar haijawahi kupewa hata nduaro aka senti tano ya faida .

Muungano ni mzigo mzito kwa Zanzibar na wakati wa kuutua ndio huu ,unajua kuna maradhi yameshaanza kujitokeza hapaTanzania Bara ,mambo ya ukanda hawa wasukuma, hawa wachaga hawa wamakua mfano ni genge linalovuma sasa hivi la Sukuma Gang ,hii ni cheche ya mot mkubwa hapa Tanzania.

Wabara (Tanganyika) wametuambukiza Umasikini,nani asieijua Zanzibar kabla ya Muungano ? Zanzibar ilitoa misaada kuzisaidia nchi za Scandinavia enzi hizo ,Zanzibar ilikuwa ya au inaongoza kwa maendeleo hapa Afrika ,leo tumeungana hata mwisho wa mkia pia hatupo na yote ni hawa jamaa zetu machawa. Hatupumui kila tunalotaka kulifanya huliharibu au mmesahau OIC ? Kama si choyo na husuda ni kitu gani ?
Wee pimbi tu. Kazi yenu kudharau wabara eti nyie wastaarabu mumeendelea mnajua kuchamba mavi kwa maji😂.
Wala wabara hawajagawanyika ni fitna tu na uchonganishi wa adui wa mwendo wa kimagufuli, au tuseme fisadi na wabinafsi.
Wala hakuna sukumagang ni ubunifu tu wa mafisadi. Wabara tuko na umoja. Hofu ilikua kwenu kwa upemba na uunguja wenu. Shukuruni mungu muungano umewaokoa vinginevyo mngeuana kama ma el shabaab au kule yemen.
 
Back
Top Bottom