Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,315
- 24,177
Tunasema tena kwa dhati, mama Ubarikiwe kwa kutukumbuka sekta hii iliyokuwa inaenda kufa kwa upande wa makandarasi wazawa.
Tulianza vizuri sana na mentor wetu katika Awamu ya 5.
Baada ya hapo sijui lilitokea sintafahamu lipi, maana tukapigwa tanchi tusielewe.
Mara hakuna kumpa kazi mzawa ati anaiba sana.
Mara afwazali kumpa kazi fundi Maiko, kwa Force Account.
Wizi uliotokea katika miradi ya umma wote tunafahamu!
Makandarasi wengi, tena wadogo wadogo wakakosa kazi, wengi wakarudisha leseni za kazi na kuua kampuni zao.
Mimi leseni nilisha irudisha kwa wenyewe, ila sasa napata matumaini kurudi ulingoni.
Huku nyuma waliosalia waanza kuwindwa na TRA pamoja na na wanasiasa.
Waziri Jafo, sijui alitumwa?, alimnanga mkandarasi mpaka akazimia.