Rais Samia: Maafisa ustawi hushughulikia zaidi migogoro ya ndoa na mirathi kwa kuwa wanapewa 'kitu' shauri likiisha

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Maafisa Ustawi wa Jamii kuweka mkazo katika kushughulikia changamoto za Watu wenye Ulemavu.

Amesema maafisa hao wanashughulikia masuala ya mirathi na migogoro ya ndoa kwa kuwa mtu akishinda hutoa chochote kama shukrani, kitu ambacho watu wenye ulemavu hawawezi kufanya.

Aidha amesema uwepo wa walemavu katika ngazi mbalimbali za uongozi unasaidia kutatua changamoto zao kwa uzuri Zaidi. Hivyo teuzi zijazo atazingatia kuwapa nafasi watu wenye Ulemavu
 
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Maafisa Ustawi wa Jamii kuweka mkazo katika kushughulikia changamoto za Watu wenye Ulemavu...
Mama ni mama siku zote, anatumia busara kukosowa na kurekebisha sio kufoka foka kama Marais wa nchi zingine
 
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Maafisa Ustawi wa Jamii kuweka mkazo katika kushughulikia changamoto za Watu wenye Ulemavu.

Amesema maafisa hao wanashughulikia masuala ya mirathi na migogoro ya ndoa kwa kuwa mtu akishinda hutoa chochote kama shukrani, kitu ambacho watu wenye ulemavu hawawezi kufanya.

Aidha amesema uwepo wa walemavu katika ngazi mbalimbali za uongozi unasaidia kutatua changamoto zao kwa uzuri Zaidi. Hivyo teuzi zijazo atazingatia kuwapa nafasi watu wenye Ulemavu
Mkono mtupu haulambwi
 
Back
Top Bottom