Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,925
- 95,203
Endelea kukarili kama baba watoto wako.Hahahaaaa..... Wasalimie wamakonde wote hapo Nanguruwe!
Endelea kukarili kama baba watoto wako.Hahahaaaa..... Wasalimie wamakonde wote hapo Nanguruwe!
Mlizoea kudanganywa huyo siyo wa hivyoRais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40 pekee? kwa spidi hii hata kama miaka 5 ikipita hatutafikia hata ajira laki 2
View attachment 1770907
Ukichimama nchale!Endelea kukarili kama baba watoto wako.
Mwendazake alikuwa anaishi kwenye FAKE world. Alipo pata FAKE PhD akaamua adanganye kila kitu.
Hakuna kitu Magufuli ambacho alikifanya au kukiwasilisha kama kilivyo.
Naamini JPM siyo mtoto wa Magufuli, atakuwa alitufanganya kama kawaida yake.
Imagine nafasi za kazi 50 mnaitwa interview watu elfu 4.Okay
dah, kumbeMlizoea kudanganywa huyo siyo wa hivyo
Best alternative ni kuwa mpole uanzie chini kisha lenga kufika kule juu walipo wanaopanga hizo ajira kisha kula maisha.Trust me hata hayo maisha yako unayotaka kuyaishi pia sio yako.
Yani hii dunia lengo lake ni kutuona tunakuwa wendawazimu huko barabarani hakyamama tena
Hizo ajira ni pamoja na Private Sector. Sio Public pekee.Rais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40 pekee? kwa spidi hii hata kama miaka 5 ikipita hatutafikia hata ajira laki 2
View attachment 1770907
🤛🤛🤛🤛Best alternative ni kuwa mpole uanzie chini kisha lenga kufika kule juu walipo wanaopanga hizo ajira kisha kula maisha.
Tafuta Power na Pesa kwa namna yoyote hakuna atakayekusumbua kichwa. Ulimwengu unaendeshwa na watu wenye nguvu, pambana kuwa mmoja wao kisha ishi kibingwa. Ila ukisubiri hao wenye nguvu wakuonee huruma wewe, utaumia sana na hiki ndicho kinawatokea wengi.
Hakuna mwenye time na maisha yako kila mwanadamu ni selfish na anaangalia maisha yake kwanza.
Wahenga walitudanganya aliye juu mngoje chini sasa ili iweje?? Ubaki naye hapo chini??
Aliye juu mfuate hukohuko, chonga ngazi zako panda mfikie sema naye
siajakuelewa mkuuTrust me hata hayo maisha yako unayotaka kuyaishi pia sio yako.
Yani hii dunia lengo lake ni kutuona tunakuwa wendawazimu huko barabarani hakyamama tena
Kikiumana utaiwaza tuRais Magufuli wakati wa kampeni alahidi kutoa ajira milioni 8, pia aliyekuwa kaimu waziri wa fedha kipindi cha Magufuli (Wakati Dk. Mpango akiwa anaumwa) Mwigulu Nchemba akisoma mpano wa bajeti ya 2020/2021 mwezi Februari alisema watatoa ajira milioni 12, iweje sasa Samia anatoa ajira elfu 40 pekee? kwa spidi hii hata kama miaka 5 ikipita hatutafikia hata ajira laki 2
View attachment 1770907
Huku wanaleta panga la TRA nako...