Rais Samia, kwanini kwenye hotuba yako UN umeshindwa kuinadi Tanzania?

Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,349
2,000
Haukuwa na ulazima wowote kumshambulia aliyekuwa waziri wa ujenzi.

Angelifanya kama ulivyowaza, ungekuja na kusema Mh. Rais kaiuza nchi kwa mabeberu.
Mimi nadikiri hujui hata kitu unacho kisema. Labda nikuulize swali. Unajua lakini maana au umujimu wa kuwa na wizara ya ujenzi na uchukuzi?

Hii wizara ni nyeti sana. Kwa kawaida wizara kama hizi huko kwa wenzetu ndiyo wizara zinazo toa chachu ya maendeleo na hivyo kuondoa matatizo ya ajira kwa kuwahamasisha vijana kuwa wabunifu na creative.
 

Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,349
2,000
Ondoa upumbavu wako hapa. Jakaya alifanya nini zaidi ya kushamiri kwa ufisadi na madawa ya kulevya? Wizi wa kimikakati mikataba ya kipumbavu hadi ccn kukataliwa na watu haikuwa kwa ajili llya jakaya? Mama amesema nini quantitatively kwa ajili ya taifa?

Kama na wewe uwezo wako unaishia hapo, acha kuasambaza haurfu ya uozo hapa.
Tanzania deserves more intellectual abilities than upumbavu wa level sifuri zako.
Umenena vizuri sana mkuu.
 

Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,349
2,000
Kila mtu anajua mwenzake anapaswaje kutimiza majukumu yake,ila wengi hawajui jinsi ya kutimiza majukumu yao wao wenyewe! kila mtu ni mkosoaji,kila mtu ni mjuaji! tumekua na wataalamu wa maandishi wengi sana!
Ondoa matongotongo yako machoni. Jitahidi kutoka nje ili ukapate exposure. Umelala mno!!
 

Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,349
2,000
Wabongo ni mabingwa wa umbeya na kupiga domo.

Wanajua kila kitu.

Wanalalamika kila sekundee
Sio wabongo wote wanao lalamika wana upeo kama wako wa kuelewa mambo ya ulimwengu. Naomba nikuulize maswali mawili tu;

Tanzania kuna NGOs ngapi zinazo kuwa Supported na serikali za kibepari kama Ujerumani, Sweden na kadhalika? Unazijua kazi zake? Kuna maendeleo yoyote ambayo umeyaona toka tuwe na hizo NGOs?

Unajua kazi za World Bank, IMF na ECB?
 

Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,349
2,000
Kumbe alihutubia? Huku wanasema ati alikuwa busy na kupiga picha na mange bongo !!!
Nafikiri ni mda mwafaka wa wewe kuachana na ma group ya kijiweni yenye kutoa udaku usio na mantik. Jishufhulishe na habari za kweli ili upanue wigo wako.
 

Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,349
2,000
Yapo mengi ya kufanya moja wapo ni nguvu na muda unaotumika kwa kila mtu kujifanya kujua majukumu ya mwenzake yanapaswa yatimizwaje,nguvu hiyo itumike kwa kila mtu kutimiza majukumu yake kama ipasavyo,smart phone zimeleta wataalamu wasiokua wataalamu,kila mtu anamlalamikia mwenzake,so watu wote tunalalamikiana,na muda nao haumsubiri mtu!
No comment! Time will tell!
 

Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,349
2,000
Ile hotuba ilikuwa kama ifuatavyo:-
31% ilikuwa ni kujidhiri/kujishusha/kuchuchumaa, 58% kutembeza Bakuli la kuomba misaada ya COVID na 11% kushukuru.
Wajerumani wana sema; "Du hast den Nagel auf dem Kopf getroffen!" Kwa kiswahili niseme kuwa "umepatia vibaya mno!"
 

Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,349
2,000
Nikutajie kwani hukusikiliza?

Global issues saizi ni uchumi jumuishi, mazingira,masuala ya jinsia,demokrasia, usalama na mahusiano ya kimataifa na covid 19..
Wewe ni kichekesho kweli kweli. Umejiulza kwa nini waamerika walikwenda Afghanistan? Na kwanini wameondoka tena?
Waafghanistan wamefaidika na nini kuwepo kwao na kuondoktena kwao?
 

Maneno Meier

JF-Expert Member
May 12, 2013
2,349
2,000
Naona umeamua kujielezea jinsi ulivyo,huwezi kuelewa nilichokiandika kutokana na kua na uwezo mdogo wa kufikiri,

Nitoke nje? Wewe unajua mimi nipo wapi? Au ndio umekariri?
Kama mtazamo wako ndiyo huo basi sina budi kukubaliana na wewe, lakini kam huo sio mtazamo wako basi nami ningekushauri kujiongeza kidogo kwenye kusoma mambo ambayo wengine nje nao wanaandika
 

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
8,054
2,000
Wewe ni kichekesho kweli kweli. Umejiulza kwa nini waamerika walikwenda Afghanistan? Na kwanini wameondoka tena?
Waafghanistan wamefaidika na nini kuwepo kwao na kuondoktena kwao?
Inahusikaje na global issues? Huna akili kwenda america ndio global agenda? Futuhi kabisa wewe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom