Rais Samia kuzuru Rwanda kwa Ziara ya Siku Mbili (Agosti 2-3, 2021)

Yale madini ya RDC. Yameanza kuonesha matunda kwa Rwanda

Madini ya RDC yanajenga kiwanda cha simu janja yanajenga kiwanda cha magari Volkswagen

Cc@mng'ato zitto junior

View attachment 1878598
Hicho kiwanda kilitakiwa kujengwa Tz. Na Kitwanga na marafiki zake ndio waliwaleta Volkswagen bongo ili wakijenge. Shida ilikuja kwenye urasimu na makodi yetu yasiyoeleweka. Ila PK huwa anamashushushu wengi bongo ndio wakawawahi hao watu wa Volkswagen na kilakitu walichokuwa wanataka kama ili wawekeze PK aliwakubalia ndio maana kikajengwa Rwanda. Hizo gari zinaugwa tu na mzigo wote unapitia bandari ya Dar na unasafirishwa kwa malori kuelekea Rwanda.

PK ana "watu wake" wanazunguka kwa wafanyabiashara na wawekezaji walioshindwa kuwekeza nchi nyingine na anawashawishi wawekeze Rwanda. Na PK amepunguza kodi huko Rwanda na bado anataka kupunguza kodi zaidi na zaidi na zaidi na zaidi ili watu wawekeze Rwanda. Jamaa anataka Rwanda iwe Duty Free/Tax free ila PK kwenye ujasusi wa kusaka wawekezaji ni mtu mbaya mno. Halafu anafanya maamuzi haraka sana ya kukubali wawekezaji. Ila Pk ni mtu hatari.

Sasa hivi ataanza kutumia wanawake wenye shepu/chura kubwa ili kuwavuta wabongo wawekeze Rwanda.
 
Vitu vingine hata havihitaji mashushushu,mfano mazingira yalivyokua mabovu(Kodi/urasimu) jamaa wenye malorry wakaenda kuyasajili Rwanda haraka Sana.

Hans Pope yeye alivyoona Magu anaingia madarakani akajua Kiama chake kimefika(akikumbuka alivyokua anam support Lowassa/ukawa kwny kampeni 2015 Nakumbuka hata wkt wa fundraising ikionyeshwa ITV Hans alichangia mil. 20 kwny kampeni za Lowassa,lkn pia Pope aliwahi kusema Magu(akiwa Waziri) Ni mpenda rushwa kipindi kile Kuna mgogoro wa wenye malori na mizani),so Lorry zake akapeleka kuzisajili huko Zambia.

Point yangu ni Kwamba wafanyabiashara ni survivors wakiona Hali haieleweki wao kuhama hua Ni kugusa Wala haihitajiki akili nyingi kuona Hilo.

Kama unamfahamu Elvis Msiba yeye alihangaika na vibali vya kujenga hotel yake kwa Muda mrefu hapa Tz akaenda Kigali kilikua na mkutano wa wafanyabiashara wa EA,Kuna eneo akalipenda kwa ajili ya kuenga hoteli yake Ile ameulizia tu hilo eneo akaletewa Meya na watu wa mipango miji wakaongea nae ndani ya siku 3 akapewa vibali vya ujenzi wa hoteli hio.Amejenga hoteli ya nyota 3 huko Rwanda yaani mpk hapo ajira zote hizo,Kodi tumepishana nazo tayari.

Wale wameshajua hawana resources za maana so kitachowasaidia Ni wawekezaji tu,na wawekezaji wenyewe wanapoenda kuinvest kule wanajua kabisa(rushwa imedhibitiwa,mlolongo wa vibali sio kivile) lkn wanajua limit yao ambayo ni 1 tu wasijichanganye kwny siasa za Rwanda la sivyo utapgwa DAFRAU moja matata.
 
Ni kweli una file Mirembe kwa sababu tokea nizaliwe sijawahi kuona mama wachungaji wakipambana na pombe!
Na wewe inabidi ukafungue lako sasa.

Aliyekwambia mimi ni mama mchungaji alikupotosha,halafu kwenye pombe kila mtu ana mtazamo wake.
Hata mwenyekiti wako mbowe anakunywa.
 
Na wewe inabidi ukafungue lako sasa.

Aliyekwambia mimi ni mama mchungaji alikupotosha,halafu kwenye pombe kila mtu ana mtazamo wake.
Hata mwenyekiti wako mbowe anakunywa.
Na akinywa anawatembezea rungu a.k.a Abdalah kichwa wazi mbaya kabisa.
 
Back
Top Bottom