Rais Samia kuvaa sare za Jeshi. Je, kaanza vitisho?

Kwani ni mpaka watu wa ulaya wafanye ndo nasisi tuwaige?..au wasipofanya na sisi tusifanye?

Mbona tunakuwa wapumbavu kiasi hiki?

Ulaya kijana wa kiume anaolewa na kidume na wazazi wanapiga makofi,tuwaige nao pia sio??.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mnawadharau kwanini mnaenda kuwapigia magoti wawasaidie kujaza bakuli la kina matonya?
 
Yeye ndio anaweka standard?? Nyie bavicha kweli janga
hata hoja huna

Marais wengi wa US ni wanajeshi hata BIDEN PIA ila ushawahi kumuona kavaa GWANDA AKIWA RAIS.

COLLINS POWELL alitekuwa WAZIRI WA MAMBO ya nje wa USA Alikuwa RTD 4STAR GENERAL.

ushawahi akivaa Sare alipokua waziri wa mambo ya nje?

Same goes to CURRENT waziri wa mambo ya nje wa US NI JENERALI ushawahi kumuona anavaa sare?

Acheni basi huu.UJINGA?
 
1354362_UHURU_KENYATTA.jpg
 
Kazi ya jeshi inapendwa na wengi, licha ya kua amiri jeshi mkuu ila kuvaa magwanda ni ishara ya kutojiamini. Sasa sijui anamuogopa nani, au sijui anamtisha nani? Au ndio mambo ya fashion.

Ila yamempendeza, aendelee kuyavaa kwenye mat ukione yanayohusiana na jeshi
 
Umeshasema ni amiri Jeshi halafu unayashangaa tu magwanda?!!! Khaaa 😳😳🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom