Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,000
- 9,862
Kamishna Mkuu wa Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mzee alimuomba Rais Samia kutoa msamaha kwa wafunga ili kupunguza msongamano wa wafungwa magerezani.
Katika kujibu hilo amesema misamaha ya wafungwa huenda kwa matukio maalum. Hata hivyo amesema idadi ya wafunga na mahabusu inashabihiana hivyo ni vyema kupunguza mahabusu.
Amesema akitoa misahama mingi ya wafungwa Magereza itakosa nguvukazi ya kusaidia kwenye miradi ya Magereza, hivyo ni vyema kupunguza mahabusu kwa kuwa hawafanyi kazi.