Rais Samia kusaini EPA huko Brussels?

Status
Not open for further replies.
Unapoongea international trade ukamtaja na Magufuli, ninakuwa pissed off. The blood fucking dictator destroyed our economy singlehandedly
Learn to deal with the facts and ignore emetions in life, they are the cause of downfall.

Soma article niliyoweka the writer anaongelea his sources inside in EU kukasirishwa na Magufuli kuzingua wakati wenzake wapo tayari ku-implement kiasi cha kuwa tayari kuinyima nchi misaada kwa sababu ya kuchelewa kwa EPA.

Embu waulize Kenya eneo ambalo most arable duniani (yes all areas which equator line pass) wanalima maua badala ya chakula.

Be careful what you wish for mambo mengine sio ya kukurupuka yanataka ujipange kwa muda mrefu na wewe. Sijasema EPA mbaya but it requires consideration.
 
Eti viwanda vyetu?
,Viwanda vya maji na juisi zenye kiwango Cha chini kabisa.
Viwanda ni vya Azam TU na anauza kokote...
Point zote ziko vizuri sana, tunalalamika Nchi masikini wakati sababu ni ukosefu wa bidhaa na zile zinazopatikana zinakuwa hazina ubora kiasi cha kufanya Kila siku mtu anunue kitu hicho hicho bila kumpa muda wa kutumia thamani ya pesa yake.

Imagine Sasa Kuna vitu vya kumfanya mtu Aishi kisasa vingi tu ila ukinunua havidumu ni mwendo wa kununua tu bila kutumia kwa muda hata wa mwaka tena vingine ni bidhaa za kufanya uzalishaji wa bidhaa zingine kama blenda za kusaidia wajasiriamali kusaga juice hata ikiwa ya gharama bado haimalizi mwezi imeungua Sasa kwanini visije vitu vizuri watu wachague wanahitaji cha Nchi gani?,

Vitu vije watu wanunue waishi kisasa hao wavivu na roho mbaya wanaotaka vitu vibovu wao waendelee kununua hivyo vibovu na visivyo na ubora.
 
Hawa watu wanajadili mambo kishabiki.
Siyo kishabiki tu inawezekana hata maendeleo hawayahitaji bado wanapenda kuishi zama za kale za kupoteza muda Kila jambo Ili wapate kisingizio cha maisha ya mtu asiyejiweza, maisha ya kutumia Kuni huku unaharibu mazingira, vyombo na macho na kupoteza muda juu, maisha ya kuwasha pasi ya mkaa masaa sita ndo unyooshe nguo mbili alafu uwashe tena unyooshe nguo mbili baadaye useme siku nzima ulitumia muda wako kunyoosha nguo, wakati hivyo vitu vyenye ubora vikija vitasaidia kuokoa muda, kutumika muda mrefu na vingine vitasaidia kufanya uzalishaji wa maana bila kununua Kila siku na kushinda na mafundi kiasi cha kupoteza mtaji.
 
Nimesoma na kusema ilkabidi nicheke tuu! Kusema kweli Rais wetu si mwenye tabia ya kusoma vitu hata kidogo! Sitashangaa yeye akisaini kwakuwa kaambiwa! Rais wetu yeye huwa akikutana na mkataba ni kusaini tuu wala sina hakika kama anao muda wa kusoma hata kidogo...
Mkuu hiyo ni kazi ya ofisi ya attorney general
Labda pasiwe na ushirikishwaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom