Vinaweza kumuomba afikirie uwezekano wa kuanzisha mchakato wa kutazama faida zinazoweza kuwepo katika zoezi la kurasimisha uratibu wa kutangaza kupokelewa ripoti.
Vyombo vyetu vya habari vimeshazoea kuwa "spoon feeding" hasa kwenye taarifa kutoka serikalini, sitegemei kama vinaweza kutoa ombi kama hilo
 
Msumbiji mkutano wa kwanza ali delegate Rais Mwinyi wa Zanzibar aende.

Kuwakilisha Tanzania.

Wakati Mwinyi Rais wa Zanzibar halafu Mambo ya Nje si suala la Muungano.

Huyu rais anachemka sana.
Kwani Rais Mwinyi siyo Mtanzania?
 
Kama ‘high ranking’ mwakilishi wa rais….maybe
Justice must not only be done, justice must also seem to be done.

Caesar's wife must be above suspicion.

Rais mwenyewe anaalika vineno kwamba anawapendelea Wazanzibari kwa kuwaingiza katika kazi za serikali ya Muungano.

Kulikuwa na Makamu wa Rais, Waziri Mkuu,Waziri wa Mambo ya Nje, wote kawaruka hao.

Hapo anaalika controversy mwenyewe.

Lakini mwenyewe kashasema Watanzania warahimu sana. Hivyo atafanya lolote analotaka kwa kuwachukulia poa tu.

Ila kwa nchi ambayo watu wanafuatikia mambo hilo jambo l8ngekuwa bonge la red flag.

Ndiyo maana watu wanaposhangaa kwamba kabadilika ghafla kwenye kauli ya kukataza mikutano ya hadhara mpaka uchumi utengemae, mimi naona hajabadilika, ila watu wali project mawazo yao kuwa yuko ambavyo hayuko, mainly kutokana na lugha laini anayotumia.

Watu washazoea kutukanwa na kuambiwa wabaki na mavi yao majumbani kwao na Magufuli, wakisikia rais anasema "tafadhalini" kwq lqhqjq ya Mkunqzini wanafikiri atakuwa anakubali tu mambo ya uhuru wa demokrasia Tanzania.

Wakati mtu kashakwambia yeye na Magufuli ni kitu kimoja.
 
Lakini kuhusu Rais Mwinyi kwenda huko [Msumbiji?] kumwakilisha, I don’t see it as a big deal.

Rais Mwinyi ni Mtanzania. Ni kiongozi wa juu nchini. Ana uzoefu na mambo ya kimataifa, nk.

Samia hakutuma mtu ambaye si Mtanzania. Angetuma Mkenya au Mbotwasana akamuwakilishe huko, hapo ningeona tatizo.

‘Uzanzibari’ wa Mwinyi hau-disqualify Utanzania wake.

Btw, Rais wa Zanzibar huwa hashiriki kwenye kwenye vikao vya baraza la mawaziri wa Jamhuri ya Muungano?

Na kwenye order of presidential succession, ni wa ngapi? Au hayupo kabisa?
 
Anashiriki vikao lakini hayumo katika order of succession.

Positionnya Rais wa Zanzibar kwenye Baraza la Mawaziri ni kqmq muwakikishi wa Zanzibar. Mambo ya Kimatqifa SMZ hqina kquli directly, utqkumbuka hata Salmin Amour alileta habari za Zanzibqr kujiunga na OIC kukawa na mgogoro wa kikatiba mpaka akachomoa.

Sasa leo unaenda kumpeleka Rais wa Zanzibar mkutano wa kimataifa, lets say wanajadili nchi zijiunge OIC au zisijiunge. Rais wa Zanzibar akapiga kura Tanzania ijiunge kwa sababu kwao Zanzibar Waislamu wengi na yeye rais wa Zanzibar anatetea interests za immediate constituency yake Zanzibar. Hapo tayari conflict.

Rais anaongeza complexity tu, kwa sababu gani? Kuna ajenda ya siri ya Wazanzibari kuteka kazi za serikalibya Muungano?

I see that as an issue
 
Sidhani kama Samia atamtuma mtu akamuwakilishe kwenye mkutano halafu mtu huyo asitetee maslahi ya Tanzania. Is she that stupid? I don’t think so.

Na naamini anaangalia na aina ya mikutano, agenda ya mkutano, na kadhalika, kabla hajachagua wa kumtuma.

Anayetumwa naye naamini anakuwa na coordination na aliyemtuma. Sitaki kuamini ataenda huko na kufanya vile atakavyo au apendavyo yeye.

Hakuna tatizo la Mtanzania kutumwa na Rais kwenda kuiwakilisha Tanzania.
 
Mkuu,

Nchi hii imeshawahi kuwa na Rais wa Zanzibar aliyetolewa urais kwa sababu alituhumiwa kuuhujumu Muungano.

Kwa hivyo, position ya urais wa Zanzibar ina makandokando mengi na huwezi kusema on faith tu kwamba kwa vile mtu ni rais wa Zanzibar na anaaminiwa na rais, pengine kwa sababu rais naye ni mtu wa Zanzibar, basi huyo mtu atawakilisha tu interests za Tanzania by default.

Vipi kama interests za Tanzania in general zikipingana na interests za Zanzibar?

Huyu Rais wa Zanzibar naye ana constituency yake kule Zanzibar ambayo iko tofauti kabisa na consituency ya Tanzania in general.
 
So what are you saying here? That there was a breach of constitution?
 
Not necessarily.

The Tanzanian Constitution gives so much power to the presidency. It is almost like she can appoint anyone to be anything, I joke by adding across the arrow of time, even retroactively.

The president of Tanzania, as the last custodian of the land, can sell all land and water within Tanzanian borders, to the highest bidder, without breaking the constitution.

But will that be right?
 
Back
Top Bottom