johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,889
- 141,824
Nawauliza nyie bavicha happy Ufipa mnaokesha mkimjadili Shujaa Magufuli na uzalendo wake uliotukuka
Shujaa wa Nini Sasa wewe kenge? Ushalewa tayari mchana huu?!Nawauliza nyie bavicha happy Ufipa mnaokesha mkimjadili Shujaa Magufuli na uzalendo wake uliotukuka
Unajuaje, huenda muda huu ndio anampokea huko, si alisema anaenda kuwa kiongozi wa Malaika? Ukute Yuko kitengo Cha kupokea fresh WafuNawauliza nyie bavicha happy Ufipa mnaokesha mkimjadili Shujaa Magufuli na uzalendo wake uliotukuka
Zimbabwe imefanyiwa nini? Au hujui kilicho watokea wazimbabwe? Kwanini nchi ambayo ilikuwa inashindana n South Africa leo ni masikini kuliko hata Tanzania?ngonjear za aina hii siku nyingi. Wanatuzua sisi kujitegema na sisi tunakubali kuzuiwa? Kwa nini na sisi tusiwazuie wao kujitegemea. Acha ngonjera zilizopitwa na wakati.
Umeuelewa lakini? Au unahitaji ufafanuliwe?Sijui huu mfano unasaidia nini kutetea kuwa sisi ni tegemezi kwa West! Kujenga reli kwa mkopo kutoka China ndiyo tumemaliza kila kitu? Ningeona una hoja kama ungesema tumeacha kutegemea misaada ya West kabisa na sasa tunajitosheleza kwa juhudi zetu.
Kwani akimwachia makamu wake angalau hii atapungukiwa nini?Ni lazima aende aisee.
Duh!Mimi naongea uhalisia kwa kuweka ushahidi wa mambo makubwa aliyo yafanya mh Rais yaliyoishangaza Dunia baada ya kuona matunda yake, mama yupo kazini muda wote
ngonjear za aina hii siku nyingi. Wanatuzua sisi kujitegema na sisi tunakubali kuzuiwa? Kwa nini na sisi tusiwazuie wao kujitegemea. Acha ngonjera zilizopitwa na wakati.
Masikini ratiba hii imeisha kufaKiukweli nimeipenda heshima hii Rais Samia aliyo shuka nayo jiji la London
Nilitamani sana angeshuka hivi Jijini New York ile trip ya Royo Tua hivyo kwanza tulishauri Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York kilichotokea ni Je, Uzinduzi Royal Tour ungekuwa na maana kama Rais Samia angetua kwa Dreamliner & ATC kuzindua Direct Flights from DAR-JFK-DAR/JRO-JFK-JRO?
Na baada ya msiba, apumzike kidogo for check up, shopping & relax just a little bit, then aende straight New York kwenye UNGA and this time ahutubie kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili. Angalau ule mkataba wa anga huria kati ya US na Tanzania uwe na sisi tumeuonja!.
Mungu Mbariki Samia,
Mungu Ibariki Tanzania
P
Hili la rais yuko UK, makamu yuko NY kwa maoni yangu ni muendelezo wa lile tatizo la upangaji wa vipaumbele vyetu, baada ya kumuona Rais Samia amekwenda UK, then mimi nilimpangia ratiba hii Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth IIMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA).
Makamu wa Rais anatarajiwa kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa katika Ukumbi wa Mikutano wa Umoja wa Mataifa Jijini New York nchini Marekani tarehe 22 Septemba 2022.
Aidha Makamu wa Rais ataongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mikutano mbalimbali inayohusu Uchumi, Elimu, Afya, Demokrasia na Malengo ya Maendeleo Endelevu ambayo Tanzania imealikwa na nchi washirika, Taasisi za kimataifa na Asasi binafsi.
Wewe unafikiri Jembe angeenda huko? Thubutuu! Jembe hakuwa mtu wa kuwatukuza Half Apes People. Maisha yake yalikuwa dedicated kwa watanzania wenzake. Alijua vitu watu wanavyo vihangaikia huko majuu, ndiyo masna alijitahidi nasi nasi tuwe navyo hapahapa. Kwa kiasi kikubwa cha maisha yake kama Rais, naweza sema, amefanikiwa. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi! AminaMasikini ratiba hii imeisha kufa
Hili la rais yuko UK, makamu yuko NY kwa maoni yangu ni muendelezo wa lile tatizo la upangaji wa vipaumbele vyetu, baada ya kumuona Rais Samia amekwenda UK, then mimi nilimpangia ratiba hii Rais Samia kuhudhuria mazishi ya malikia Elizabeth II
Shughuli ya mazishi ya Malkia inaisha leo, kesho ilikuwa atoke UK na kutimba NY kama mwenzie Ruto. Unless ilikuwa ni mipango ya muda mrefu iliishapangwa VP atamuwakilisha UNGA, ratiba ya msiba ndio ikaingilia!.
Ila tukubali, tukatae, kwenye cost cutting za trips trips JPM alikuwa mzuri!, kwa umasikini wetu, we didn't have to send two different delegations to two separate events ambazo ziko just two days apart, one delegation would have been enough to cover both events.
P