Rais Samia kufanya safari nchini Rwanda mapema Agosti

Ngoja akadukuliwe ndio ikili imrudie,Awaulize viongozi wa Uganda jinsi walivyodukiliwa simu zao
 
Rais wetu
Ajipange kagame diplomasia ya siasa alishamalizA since 1994
Kwasasa yuko diplomasia ya uchumi duniani

Ndo tofauti yetu na mwezetu

Ndomana magufuli alivoenda sidhani kama alirudi tena


Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Daah kweli gaidi yako, ndiye shujaa wa mwenzako!
Who cares JK, Au Mwendazake walikuwaje na PK, ukiangalia picha ya hizi honey traps??

Everyday is Saturday............................... :cool:
kuna kitu huyu mama anakitafuta kwa PK asimwamini kabisa Yule mzee
 
Ushauri wa wapinzani ktk nchi yetu si wa kufuata Tena Magu alipokataa kwenda nje ya Nchi mlipiga kelele sana,saiz Tena mko kupiga juhudi za Rais Samia
Hajui nini wanataka, hata wao wenyewe.
Ila kauli ya "anafungua nchi" kawazimisha
Mama we Nenda uko kidiplomasia zaidi
 
Mbona yeye ndo anawafuata tu?
Kwani Mgeni akihamia mtaani kwenu ni yeye ndo hua anakuja kujitambulisha kwa wenyeji wa mtaa huo au wenyeji ndio hua wanaenda kujitambulisha kwa Mgeni aliyekuja?

Diplomacy.
 
Back
Top Bottom