Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,677
- 26,997
Kufa ni kufa tu, yani kama njinsi ambavyo mbwa hufa na kuoza ndivyo jinsi binadamu anakufa, tofauti ya binadamu na mbwa ni heshima ya mazishi tu.Hahahah kufa kupo tu tunafundishwa"Unatakiwa umuombe Mungu uongelewe vizuri baada ya kufa"
Co ha maiblid ambao walishiriki kuumiza binadamu wenzao na mmoja yupo jahannam nw huyu mwngne anaweweseka tu hana la kufanya
Ni nani aliyewahi kuongelewa vibaya na watu wote? Hâta Oussama kuna watu wanamuongelea vizuri.