figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,491
- 54,884
Salaam
Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki
Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?
Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
Kiprotocal hii imekaaje?
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuumiza kiasi hiki?
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi
Mara mia Rajab Abdul Kahali aka Harmonize, kapeleka ujumbe unaoeleweka.