Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,530
- 2,141
Ukiona unafanya maamuzi na wanaokushangilia ni Vijana wa Ufipa jua umekosea katika uamuzi huo,SASA CHADEMA TANGU LINI MKAFURAHIA MAMBO YA UVCCM?
KAFULILA ALIWAUMIZA SANA JINSI ALIVYOMTETEA RAIS WETU,
KWATAARIFA TU KAFULILA ANAKUWA WAZIRI TUONE MTASEMAJE
Kafulila ni hazina kwa Taifa hili