Rais Samia: Kama haumpendi Rais aliyeko, penda nchi yako

Wakati watumishi hawalipwi stahiki zao hamkuumia kwasababu halijawagusa ,watumishi walipo sitishiwa nyongeza za mishahara na kuto panda madaraja hamkuumia, wastaafu kuto pewa stahiki zao hamkuumia , serikali kuto ajiri na kupelekea watumishi wachache waliopo kufanya kazi kama punda hamkuumia , halsmashauri zilishindwa kujiendesha na pesa zote zinakusanywa hazina wala hamkuumia , matajiri kubambikiwa keshi kubwa ili watoe pesa hamkuumia, wafanya biashara kunyang'anywa pesa zao na kufilisiwa accounts zao hamkuumia sababu hayo yote mliyasikia lakini kwa vile hayakugusa maslahi yenu mliyafurahia

Leo limekuja linanalo wagusa tena hela ndogo tu kwa mwezi kwa maslahi ya taifa ndio mnakuja juu na maneno lukuki.
ACHENI UBINAFSI.
Inaonekana wewe ni Mangi,ni tajiri gani aliyenyanganywa pesa hapa Nchi? kwa mala ya kwanza ktk utawala wa awamu ya 5 Tanzania ilitoa bilionia kijana Africa Mo, Sasa ni matajiri Wapi walionyanganywa hizo pesa? wakati enzi za Magufuri akina Said Bakressa ndipo waliongeza uzalishaji,labda ukiongelea wachaga waliokuwa wakifanya fojali kwenye kwenye maduka ya kubadilisha fedha,na Magufuri alivowagundua hatujawai kusikia shilling yetu kiporomoka hovyo,kama enzi za mkwere
 
Matajiri waki bongo ukichukua pesa zao zote na mali zao hazifiki hata trillion 10 wajinga wanasema magufur alikuwa ana wapora matajir pesa zao ana jenga balabala na hospital
 
Wewe utakuwa mtanzania uishie ughaibuni tutaongea nini sasa hapa
 
Ila wewe huwezi kuona kwa sababu una chuki binafsi na Samia huwezi ona but tutakuonyesha.Hivi ndivyo kero zinatatuliwa kwa vitendo yaani Kazi,ajira na bata

Hilo ndio tatizo la vichwa nazi; mara wanapokosolewa wanafikiri wanachukiwa kumbe wanaoneshwa udhaifu wao ili wajirekebishe!
 
Matajiri waki bongo ukichukua pesa zao zote na mali zao hazifiki hata trillion 10 wajinga wanasema magufur alikuwa ana wapora matajir pesa zao ana jenga balabala na hospital
Akina Mangi ndio waliokuwa wakimchukia Magufuri, Maana akina Mangi wao walikuwa wakiishi kwa madili, Magufuli baada ya kushika madaraka aliziba njia zote, ndipo walianza kumchafua Magufuri,ukiuliza ni tajiri gani aliyenyanganywa pesa hapa Nchini,wanakuambia Wewe ni Sukuma gang, Wakati Mpaka Kaka Yao Mengi mpaka anaondoka duniani atukuona akilalamika,kuwa amenyanganywa pesa na utawala wa Magufuri.
 
Utapendaje nchi ambayo iko siku itapigwa mnada?

Na kwa style hii ya kujipimia…mikopo italipwa na pesa ipi..mwisho wa siku miundo mbinu tutapata mibovu na pesa ya kulipa madeni iko mifukoni kwa watu…mnada utatuhusu…
 
Wakati watumishi hawalipwi stahiki zao hamkuumia kwasababu halijawagusa ,watumishi walipo sitishiwa nyongeza za mishahara na kuto panda madaraja hamkuumia, wastaafu kuto pewa stahiki zao hamkuumia , serikali kuto ajiri na kupelekea watumishi wachache waliopo kufanya kazi kama punda hamkuumia , halsmashauri zilishindwa kujiendesha na pesa zote zinakusanywa hazina wala hamkuumia , matajiri kubambikiwa keshi kubwa ili watoe pesa hamkuumia, wafanya biashara kunyang'anywa pesa zao na kufilisiwa accounts zao hamkuumia sababu hayo yote mliyasikia lakini kwa vile hayakugusa maslahi yenu mliyafurahia

Leo limekuja linanalo wagusa tena hela ndogo tu kwa mwezi kwa maslahi ya taifa ndio mnakuja juu na maneno lukuki.
ACHENI UBINAFSI.
Watumishi ni asilimia ngapi ya watu 60m .je sasa hizo stshiki zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajua mwanzoni nilikuwa namkasirikia mama lakini kwa sasa naona anastahili kuonewa huruma.

mama amekuwa mtu anayeogopa kukasirisha watu,bahati mbaya hajui aseme nini na wakati gani.
 
Watumishi ni asilimia ngapi ya watu 60m .je sasa hizo stshiki zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio mlikuwa na mawazo ya kishetani mkawa mnamtia ujinga magufuli kila mwananchi ana haki yake hakuna mahali kweny katiba panapo tambua wananchi kutokana na asilimia zao

Na wala hakuna utaratibu wa kuumiza wachache ambao ndio wanao kusaidia kutekeleza ilani ya chama eti kisa uwafurahishe wengi ambao hawataki kujituma wanasubiri vya bure bure ni upumbavu mtupu alio kuwa anafanya huyo magufuli wenu na nyie mafuasi yake

Kwa sasa stahiki zinalipwa ,wakupanda madaraja wamepanda wanao dai haki zao wanalipwa nk sio kama kwa bwana yule hata wakulima sasa mazao yamepanda thamani
 
Asikuambia mpaka sasa jpm yupo moyoni mwa watu sasa anapotokea mtu watu wanamtukana marehem na kumdhalilisha halafu tena watu hao hao unawachagua tena lazima tuhoji kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
We mjinga hakuna ulazima kwamba eti mtu akichukiwa na magufuli basi watanzania wote tumchukie , kwani magufuli ni nani katika dunia hii? Ni sawa mwanamke ukimchukia wewe ukamuacha basi unataka wanaume wote wamchukie hizo ni mila zenu wasukuma za kutolelejana msituletee upumbavu huo wenu sie wengine hata sabaya alipendwa na magufuli lakini leo anamakesi yakutisha kabisa

Yaan we unamuona huyo magufulj kama mungu kwamba hatakiwi kutukanwa we kweli jina anatukanwa mungu sembuse huyo muuaji wenu?
 
Asikuambia mpaka sasa jpm yupo moyoni mwa watu sasa anapotokea mtu watu wanamtukana marehem na kumdhalilisha halafu tena watu hao hao unawachagua tena lazima tuhoji kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
We mjinga hakuna ulazima kwamba eti mtu akichukiwa na magufuli basi watanzania wote tuwachukie , kwani magufuli ni nani katika dunia hii? Ni sawa mwanamke ukimchukia wewe ukamuacha basi unataka wanaume wote wamchukie hizo ni mila zenu wasukuma za kutolelejana msituletee upumbavu huo wenu sie wengine hata sabaya alipendwa na magufuli lakini leo anamakesi yakutisha kabisa

Yaan we unamuona huyo magufulj kama mungu kwamba hatakiwi kutukanwa we kweli jina anatukanwa mungu sembuse huyo muuaji wenu?
ungekuwa na hasira namna hii ktk umasikini wako,ingekuwa poa sana.
Hahahahaaaaaaa sawa Mh. tajiri wacha mi maskin niendelee kupambana niwe tajiri kama wewe bwashee
 
Back
Top Bottom