Rais Samia kafanya alichofanya Mzee Mohammed Kissoky miaka ya 70 Bukoba

CalvinKimaro

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
244
312
Kutoka kwa Nguli la Artifical Intel
Yahya Msangi
Wakati wa zile RTC palitokea uhaba wa bidhaa mbalimbali mkiani Kagera (Bukoba enzi zile). Mkuu wa Mkoa Mzee Kissoky (mungu amrehemu) akaitisha kikao cha kamati ya mgao. Alitaarifiwa na mwenzie wa Mwanza Mzee Al Nur meli iliyobeba mgao wa Bukoba (MV Victoria) imepata hitilafu na lazima baadhi ya bidhaa zitupwe ziwani.

Mzee Mohamed Kissoky ikabidi aitishe kikao ili uamuzi uchukuliwe haraka kunusuru meli, abiria na baadhi ya mgao. Mara tu kikao kuanza ikatoka hoja kuwa unga wa mahindi ambao ulikuwa sehemu kuubwa ya mgao ndio utupwe.

Hoja ikawa kuwa ugali sio chakula muhimu Bukoba. Lakini kipindi hicho njaa ilikuwa kali mno kiasi kwamba watu wengi hawakuchagua chakula! Na kila mtu mkoani alijua njaa ilifanya wahaya, wanyambo, wahangaza na wenzao waache kudharau ugali.

Mtoa hoja akahitimisha hoja kwa kusema kati ya bidhaa ambazo kamwe zisitupwe ni bia na vileo! Kwa mtizamo wake ni kuwa watu wa Bukoba hukosa utulivu na uvumilivu wakikosa Pombe! Éti pombe hutuliza watu kuliko ugali hasa kipindi cha bidhaa adimu.

Aliyetoa wazo lile bado yupo na waliomuunga mkono baadhi wapo wengine weshatangulia mbele ya haki. Sisi wengine pamoja na mzee Kissoky tulipinga

Tukieleza umuhimu wa ugali kipindi cha njaa na uwezekano wa kuja kuibua chupa za pombe baadae kwa kutumia wapigambizi. Kura kupigwa tukashindwa! Ila RC akatumia turufu yake.

Hii inaonyesha jinsi watu wachache wanavyoweza kupotosha umma kwa manufaa yao. Jamaa wale watoa hoja wengi walikuwa wafanyabiashara wa bar! Kuadimika kwa beer kuliwaathiri kiuchumi. Sasa wakageuza hitaji lao kuwa ndio hitaji la wengi

Kisa kile cha Bukoba miaka ya 70 hakina tofauti na suala la Katiba na Tume miaka hii. Wachache wanataka kufanya hitaji lao ndio hitaji la watanzania woote milioni 60

Ningependa kuwapa wapinzani wetu testi ndogo tu hâta wa la 7 kama msukuma atajua majibu:

1. Nani aliwahi kwenda likizo kijijini na zawadi ya katiba? Yaani mamaako akupokee usimpe vitenge, sukari, mafuta au hela umpe nakala ya katiba? Umwambie "Hebu soma uone katiba ilivyo mbaya"?

2. Unadhani mama yako angepokea nini kati ya katiba na kitenge?

3. Ufike kwenu wakuulize vipi maisha ya mjini uwajibu "Tume bado ni ile ile haijabadilika"! Unadhani watakuona una akili? Usiwaambie kuhusu umepata ajira au umejenga nyumba au kama unajua lini serikali itawapatia maji ya bomba uwaambie kuhusu tume?

4. Hayati JPM alikuwa akipita watu wanamueleza shida na mahitaji yao. Ni lini mlisikia hata mtu mmoja akimwambia shida yake au ya kijijini kwao ni katiba na tume mpya?

Wapinzani jikiteni kwenye hoja na mahitaji ya wananchi wapiga kura! Hitaji la tume na katiba mpya ni lenu ninyi wachache mno! Halina tofauti na hitaji la wenye bar enzi zile pale bukoba.

Kama alichofanya Mzee Kissoky kupuuza hoja ya kutuma unga na kuokoa beer ndivyo mama samia kafanya leo bungeni. Katupilia mbali hoja ya katiba na tume! Kajikita kwenye mahitaji ya wengi!

Mama kamatia hapohapo!
 
Katiba ni hitaji muhimu sana kwa nchi.

Lakini ukweli uko wazi hakuna mwanasiasa mwenye madaraka asiyeipenda hii Katiba iliyopo.

Hata wakifanikiwa kuingia madarakani CDM kwa katiba hii hii, usitegemee wataibadilisha. Sahau kuhusu hilo.

Ukiona mwanasiasa anaipinga katiba hiyo, ujue haina manufaa kwake.
 
Katiba sio kitabu,bali ni muongozo wa namna ya kuendesha nchi,kusimamia upatikanaji wa viongozi, kusimamia sera za serikali,KUSIMAMIA HAKI ZA WANANCHI AKIWEMO HUYO MAMA YAKO WA KIJIJINI,pamoja na mambo mengine mengi. KATIBA BORA HULETA MAMBO BORA NA KATIBA MBAYA HULETA MAMBO MABAYA.
 
Hofyo! Kila kitu na mahali pake, bibi yangu na katiba wapi na wapi? Katiba ndio sheria mama kwenye NCHI DOLA yoyote, ni muhimu kuiangalia mara kwa mara na kuirekebisha ili ikidhi mahitaji ya nyakati husika!

Watu wanaongezeka, wanazidi kuelimika, dunia inabadilika vivyohivyo mahitaji ya wananchi yanabadilika, sheria mama lazima ibadilike pia, changamsha ubongo usiwe bwabwa!
 
Kweli mleta mada kapotoka yaani hajui misingi ya nchi na faida ya katiba bora rudi shule ujifunze somo la uraia na maarifa ya jamii utajua madai ya wananchi na takwa la wote wanaohitaji katiba mpya..

Usiendelee na mkwamo kichwani maisha yanabadilika vipaumbele vinabadilika
 
na kwa jinsi alivyo andika inaonekana alikuwa kiongozi miaka hiyo ya Mzee Kissoky....na pengine bado ni kiongozi sasa...kwa sababu kwake katiba iliyopo inamnufaisha anaona sio hitaji la wananchi....
 
Hatuna wapinzani, huyu mama alikuwa mwwnyekiti mwenza wq bunge la katiba lililovurugwa lwo wanamfata mtu yuleyule wanamtaka awape katiba mpya ndio mambo ya kupokea watu wa ccm.na kuwapa nafasi mkidai tatizo ni mfumo
 
Story yako Japo ni ya Kutunga ni Mzuri lakini Hauna Connection na Dai la Katiba. Katiba sio Kitabu, Katiba ni hitaji la Kimsingi otherwise for Five year under the leadership of our beloved the late Magufuli nchi ilienda kombo because of Katiba Mbovu. So Kuavoid one show leadership style man Katiba ndio suluhisho for now.
 
Wenye akili tu ndio watakuelewa kiongozi, kongole kwa kisa cha bukoba na maamuzi yake ina funzo kubwa sana kwa wenye uroho wa madaraka kwa maslahi binafsi.
 
Kutoka kwa Nguli la Artifical Intel
Yahya Msangi
Wakati wa zile RTC palitokea uhaba wa bidhaa mbalimbali mkiani Kagera (Bukoba enzi zile). Mkuu wa Mkoa Mzee Kissoky (mungu amrehemu) akaitisha kikao cha kamati ya mgao. Alitaarifiwa na mwenzie wa Mwanza Mzee Al Nur meli iliyobeba mgao wa Bukoba (MV Victoria) imepata hitilafu na lazima baadhi ya bidhaa zitupwe ziwani. Mzee Mohamed Kissoky ikabidi aitishe kikao ili uamuzi uchukuliwe haraka kunusuru meli, abiria na baadhi ya mgao. Mara tu kikao kuanza ikatoka hoja kuwa unga wa mahindi ambao ulikuwa sehemu kuubwa ya mgao ndio utupwe! Hoja ikawa kuwa ugali sio chakula muhimu Bukoba. Lakini kipindi hicho njaa ilikuwa kali mno kiasi kwamba watu wengi hawakuchagua chakula! Na kila mtu mkoani alijua njaa ilifanya wahaya, wanyambo, wahangaza na wenzao waache kudharau ugali!
Mtoa hoja akahitimisha hoja kwa kusema kati ya bidhaa ambazo kamwe zisitupwe ni bia na vileo! Kwa mtizamo wake ni kuwa watu wa Bukoba hukosa utulivu na uvumilivu wakikosa Pombe! Éti pombe hutuliza watu kuliko ugali hasa kipindi cha bidhaa adimu. Aliyetoa wazo lile bado yupo na waliomuunga mkono baadhi wapo wengine weshatangulia mbele ya haki. Sisi wengine pamoja na mzee Kissoky tulipinga! Tukieleza umuhimu wa ugali kipindi cha njaa na uwezekano wa kuja kuibua chupa za pombe baadae kwa kutumia wapigambizi. Kura kupigwa tukashindwa! Ila RC akatumia turufu yake!
Hii inaonyesha jinsi watu wachache wanavyoweza kupotosha umma kwa manufaa yao. Jamaa wale watoa hoja wengi walikuwa wafanyabiashara wa bar! Kuadimika kwa beer kuliwaathiri kiuchumi. Sasa wakageuza hitaji lao kuwa ndio hitaji la wengi!
Kisa kile cha Bukoba miaka ya 70 hakina tofauti na suala la Katiba na Tume miaka hii. Wachache wanataka kufanya hitaji lao ndio hitaji la watanzania woote milioni 60!
Ningependa kuwapa wapinzani wetu testi ndogo tu hâta wa la 7 kama Msukuma atajua majibu:
1. NANI ALIWAHI KWENDA LIKIZO KIJIJINI NA ZAWADI YA KATIBA? YAANI MAMAAKO AKUPOKEE USIMPE VITENGE, SUKARI, MAFUTA AU HELA UMPE NAKALA YA KATIBA? UMWAMBIE "HEBU SOMA UONE KATIBA ILIVYO MBAYA"?
2. UNADHANI MAMA YAKO ANGEPOKEA NINI KATI YA KATIBA NA KITENGE?
3. UFIKE KWENU WAKUULIZE VIPI MAISHA YA MJINI UWAJIBU "TUME BADO NI ILE ILE HAIJABADILIKA"! UNADHANI WATAKUONA UNA AKILI? USIWAAMBIE KUHUSU UMEPATA AJIRA AU UMEJENGA NYUMBA AU KAMA UNAJUA LINI SERIKALI ITAWAPATIA MAJI YA BOMBA UWAAMBIE KUHUSU TUME?
4. MAREHEMU JPM ALIKUWA AKIPITA WATU WANAMUELEZA SHIDA NA MAHITAJI YAO. NI LINI MLISIKIA HATA MTU MMOJA AKIMWAMBIA SHIDA YAKE AU YA KIJIJINI KWAO NI KATIBA NA TUME MPYA?
WAPINZANI JIKITENI KWENYE HOJA NA MAHITAJI YA WANANCHI WAPIGA KURA! HITAJI LA TUME NA KATIBA MPYA NI LENU NINYI WACHACHE MNO! HALINA TOFAUTI NA HITAJI LA WENYE BAR ENZI ZILE PALE BUKOBA.
Kama alichofanya mzee Kissoky kupuuza hoja ya kutuma unga na kuokoa beer ndivyo mama Samia kafanya leo bungeni. Katupilia mbali hoja ya katiba na tume! Kajikita kwenye mahitaji ya wengi!
Mama kamatia hapohapo!
Mtoa mada kitu pekee ulichokisahau/kujisahaulisha ni kwamba kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mahitaji uliyootodhesha (vitenge, chakula, maji n.k) na aina ya uongozi unaojengwa kwenye msingi wa katiba, ndiyo maana upatikanaji wa kiongozi/viongozi unafuata katiba na sio namna nyingine yeyote, (kutuaminisha kuwa katiba si takwa la wananchi unapotosha!)

Rasirimali za nchi zote zinalindwa na katiba, unawezaje kusema vitenge na maji haviletwi na katiba wakati huo huo makusanyo ya Kodi zetu zote yanalindwa na katiba hiyo hiyo?

Usitumie udhaifu wa watanzania walio na uelewa mdogo juu ya Mambo haya kuwa ndiyo msingi wa kufanya wanayotaka wanasiasa (kujitwalia ukwasi wa kutisha kwa mgongo wa ujinga wa walio wengi)

Katiba mpya yenye taswira tunduizi, inayoweka bayana nini kinapaswa kufanywa na nani katika ujenzi wa taifa utakao wezesha kila mmoja kuonja ladha halisi ya keki ya taifa letu, sio kama ilivyo sasa ambapo wanaoifaidi keki ni walio kwenye madaraka huku wakiendelea kulazimisha uendelevu wa madhaifu yaliyo kwenye katiba ya sasa, ukweli ni kwamba mzalendo wa kweli na mwenye kuitakia mema nchi yetu bado hajatokea, Kikwete alijaribu kwa nafasi yake lakini alizidiwa nguvu akaishia njiani,kabla na baada yake hajatokea tena mtu mwenye uthubutu wa kuwa mzalendo wa kweli, wengi wamekuwa wakitaka "kuonekana" wazalendo lakini sio wazalendo kabisaaa!

Sent from my Z9 using JamiiForums mobile app
 
Mh. Kikwete au kwa kujua au kutojua alijikuta amevuruga zoezi zima la kuandika katiba mpya....meza ilipinduliwa kipindi cha mwisho cha mchezo. Ila angalau tulipata wanasiasa wapya akina PAULO nk.
Kwa pesa tulizopoteza kwenye zoezi lile, tuachane na katiba kwa sasa "watu watapiga mbizi baadae kuitafuta" kama alivyoandiaka mleta mada"
 
na kwa jinsi alivyo andika inaonekana alikuwa kiongozi miaka hiyo ya Mzee Kissoky....na pengine bado ni kiongozi sasa...kwa sababu kwake katiba iliyopo inamnufaisha anaona sio hitaji la wananchi....
Huyu mkoloni kalewa madaraka na anapotoka mbele ya jamii ngoja avune aibu kwa kupanda usandiki mkubwa namna hii
 
Kutoka kwa Nguli la Artifical Intel
Yahya Msangi
Wakati wa zile RTC palitokea uhaba wa bidhaa mbalimbali mkiani Kagera (Bukoba enzi zile). Mkuu wa Mkoa Mzee Kissoky (mungu amrehemu) akaitisha kikao cha kamati ya mgao. Alitaarifiwa na mwenzie wa Mwanza Mzee Al Nur meli iliyobeba mgao wa Bukoba (MV Victoria) imepata hitilafu na lazima baadhi ya bidhaa zitupwe ziwani.

Mzee Mohamed Kissoky ikabidi aitishe kikao ili uamuzi uchukuliwe haraka kunusuru meli, abiria na baadhi ya mgao. Mara tu kikao kuanza ikatoka hoja kuwa unga wa mahindi ambao ulikuwa sehemu kuubwa ya mgao ndio utupwe.

Hoja ikawa kuwa ugali sio chakula muhimu Bukoba. Lakini kipindi hicho njaa ilikuwa kali mno kiasi kwamba watu wengi hawakuchagua chakula! Na kila mtu mkoani alijua njaa ilifanya wahaya, wanyambo, wahangaza na wenzao waache kudharau ugali.

Mtoa hoja akahitimisha hoja kwa kusema kati ya bidhaa ambazo kamwe zisitupwe ni bia na vileo! Kwa mtizamo wake ni kuwa watu wa Bukoba hukosa utulivu na uvumilivu wakikosa Pombe! Éti pombe hutuliza watu kuliko ugali hasa kipindi cha bidhaa adimu.

Aliyetoa wazo lile bado yupo na waliomuunga mkono baadhi wapo wengine weshatangulia mbele ya haki. Sisi wengine pamoja na mzee Kissoky tulipinga

Tukieleza umuhimu wa ugali kipindi cha njaa na uwezekano wa kuja kuibua chupa za pombe baadae kwa kutumia wapigambizi. Kura kupigwa tukashindwa! Ila RC akatumia turufu yake.

Hii inaonyesha jinsi watu wachache wanavyoweza kupotosha umma kwa manufaa yao. Jamaa wale watoa hoja wengi walikuwa wafanyabiashara wa bar! Kuadimika kwa beer kuliwaathiri kiuchumi. Sasa wakageuza hitaji lao kuwa ndio hitaji la wengi

Kisa kile cha Bukoba miaka ya 70 hakina tofauti na suala la Katiba na Tume miaka hii. Wachache wanataka kufanya hitaji lao ndio hitaji la watanzania woote milioni 60

Ningependa kuwapa wapinzani wetu testi ndogo tu hâta wa la 7 kama msukuma atajua majibu:

1. Nani aliwahi kwenda likizo kijijini na zawadi ya katiba? Yaani mamaako akupokee usimpe vitenge, sukari, mafuta au hela umpe nakala ya katiba? Umwambie "Hebu soma uone katiba ilivyo mbaya"?

2. Unadhani mama yako angepokea nini kati ya katiba na kitenge?

3. Ufike kwenu wakuulize vipi maisha ya mjini uwajibu "Tume bado ni ile ile haijabadilika"! Unadhani watakuona una akili? Usiwaambie kuhusu umepata ajira au umejenga nyumba au kama unajua lini serikali itawapatia maji ya bomba uwaambie kuhusu tume?

4. Hayati JPM alikuwa akipita watu wanamueleza shida na mahitaji yao. Ni lini mlisikia hata mtu mmoja akimwambia shida yake au ya kijijini kwao ni katiba na tume mpya?

Wapinzani jikiteni kwenye hoja na mahitaji ya wananchi wapiga kura! Hitaji la tume na katiba mpya ni lenu ninyi wachache mno! Halina tofauti na hitaji la wenye bar enzi zile pale bukoba.

Kama alichofanya Mzee Kissoky kupuuza hoja ya kutuma unga na kuokoa beer ndivyo mama samia kafanya leo bungeni. Katupilia mbali hoja ya katiba na tume! Kajikita kwenye mahitaji ya wengi!

Mama kamatia hapohapo!
Umeanza kama mwenye akili ukamalizia kama Zuzu.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK

Wapuuzi mko wengi tu.

Kwani hasara ni kwa nani !!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kweli mleta mada kapotoka yaani hajui misingi ya nchi na faida ya katiba bora rudi shule ujifunze somo la uraia na maarifa ya jamii utajua madai ya wananchi na takwa la wote wanaohitaji katiba mpya..

Usiendelee na mkwamo kichwani maisha yanabadilika vipaumbele vinabadilika
Halafu anaweza kujiita msomi!! Anashusha mada!!. Katiba ndio sheria MAMA.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kutoka kwa Nguli la Artifical Intel
Yahya Msangi
Wakati wa zile RTC palitokea uhaba wa bidhaa mbalimbali mkiani Kagera (Bukoba enzi zile). Mkuu wa Mkoa Mzee Kissoky (mungu amrehemu) akaitisha kikao cha kamati ya mgao. Alitaarifiwa na mwenzie wa Mwanza Mzee Al Nur meli iliyobeba mgao wa Bukoba (MV Victoria) imepata hitilafu na lazima baadhi ya bidhaa zitupwe ziwani.

Mzee Mohamed Kissoky ikabidi aitishe kikao ili uamuzi uchukuliwe haraka kunusuru meli, abiria na baadhi ya mgao. Mara tu kikao kuanza ikatoka hoja kuwa unga wa mahindi ambao ulikuwa sehemu kuubwa ya mgao ndio utupwe.

Hoja ikawa kuwa ugali sio chakula muhimu Bukoba. Lakini kipindi hicho njaa ilikuwa kali mno kiasi kwamba watu wengi hawakuchagua chakula! Na kila mtu mkoani alijua njaa ilifanya wahaya, wanyambo, wahangaza na wenzao waache kudharau ugali.

Mtoa hoja akahitimisha hoja kwa kusema kati ya bidhaa ambazo kamwe zisitupwe ni bia na vileo! Kwa mtizamo wake ni kuwa watu wa Bukoba hukosa utulivu na uvumilivu wakikosa Pombe! Éti pombe hutuliza watu kuliko ugali hasa kipindi cha bidhaa adimu.

Aliyetoa wazo lile bado yupo na waliomuunga mkono baadhi wapo wengine weshatangulia mbele ya haki. Sisi wengine pamoja na mzee Kissoky tulipinga

Tukieleza umuhimu wa ugali kipindi cha njaa na uwezekano wa kuja kuibua chupa za pombe baadae kwa kutumia wapigambizi. Kura kupigwa tukashindwa! Ila RC akatumia turufu yake.

Hii inaonyesha jinsi watu wachache wanavyoweza kupotosha umma kwa manufaa yao. Jamaa wale watoa hoja wengi walikuwa wafanyabiashara wa bar! Kuadimika kwa beer kuliwaathiri kiuchumi. Sasa wakageuza hitaji lao kuwa ndio hitaji la wengi

Kisa kile cha Bukoba miaka ya 70 hakina tofauti na suala la Katiba na Tume miaka hii. Wachache wanataka kufanya hitaji lao ndio hitaji la watanzania woote milioni 60

Ningependa kuwapa wapinzani wetu testi ndogo tu hâta wa la 7 kama msukuma atajua majibu:

1. Nani aliwahi kwenda likizo kijijini na zawadi ya katiba? Yaani mamaako akupokee usimpe vitenge, sukari, mafuta au hela umpe nakala ya katiba? Umwambie "Hebu soma uone katiba ilivyo mbaya"?

2. Unadhani mama yako angepokea nini kati ya katiba na kitenge?

3. Ufike kwenu wakuulize vipi maisha ya mjini uwajibu "Tume bado ni ile ile haijabadilika"! Unadhani watakuona una akili? Usiwaambie kuhusu umepata ajira au umejenga nyumba au kama unajua lini serikali itawapatia maji ya bomba uwaambie kuhusu tume?

4. Hayati JPM alikuwa akipita watu wanamueleza shida na mahitaji yao. Ni lini mlisikia hata mtu mmoja akimwambia shida yake au ya kijijini kwao ni katiba na tume mpya?

Wapinzani jikiteni kwenye hoja na mahitaji ya wananchi wapiga kura! Hitaji la tume na katiba mpya ni lenu ninyi wachache mno! Halina tofauti na hitaji la wenye bar enzi zile pale bukoba.

Kama alichofanya Mzee Kissoky kupuuza hoja ya kutuma unga na kuokoa beer ndivyo mama samia kafanya leo bungeni. Katupilia mbali hoja ya katiba na tume! Kajikita kwenye mahitaji ya wengi!

Mama kamatia hapohapo!
Huyo marehemu Kissoky anakumbukwa akiwa mkuu wa mkoa wa ziwa magharibi alikimbia vita ya mwaka 1978 mwanzoni kabisa na kuacha ombwe la uongozi,ndipo hayati Rais Nyerere akamtuma haraka marehemu Kapteni Peter Kafanabo kuziba pengo.
Inasemekana huyo Mzee alikatisha uhai wake kwa kujipiga risasi.
 
UMENENA VEMA, ILA UMEFANANISHA VISIVYOFANANISHIKA.
 
Back
Top Bottom