Rais Samia kaenda US na Air Tanzania? Msafara una Watu wangapi?

Tumezoea kuonyeshwa mama anapotua airport mbalimbali akiwa na msafara wake. Hii safari ya Marekani hatujaonyeshwa akiondoka wala akitua Marekani?

Mimi nataka kujua kaenda na ndege gani na kaongozana na watu wangapi ili nijue kwa hizo siku takribani 10 hela yangu ya kodi itatumika kiasi gani?

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Mkulima wa Africa kusini asijekua ako Kwa Biddeen
 
Ndege anayosafiri nayo sio issue. Issue ni details za msafara wake.
Kujua yuko na msafara wa wa watu wangapi wanaolipwa kwa kodi za wananchi ni issue?

Rais wa Malawi Chakwera aliwahi kuwabeba binti yake na mume wake kwa pesa za walipa kwenda nao Uingereza.
 
Tumezoea kuonyeshwa mama anapotua airport mbalimbali akiwa na msafara wake. Hii safari ya Marekani hatujaonyeshwa akiondoka wala akitua Marekani?

Mimi nataka kujua kaenda na ndege gani na kaongozana na watu wangapi ili nijue kwa hizo siku takribani 10 hela yangu ya kodi itatumika kiasi gani?

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Hahaha msafara utaufaham tu ukirudi
 
Moi pamoja na delegation yake walikwenda London na ndege ya KQ iliyokuwa special kw VIP. Kufika pale wakaiacha KQ na kuchukua Concorde yote mpaka New York; baada ys shughuli, wakachukue Concorde tena kuwarudisha London ambapo waliboard KQ VIP yao kurudi Nyumbani.
 
Moi pamoja na delegation yake walikwenda London na ndege ya KQ iliyokuwa special kw VIP. Kufika pale wakaiacha KQ na kuchukua Concorde yote mpaka New York; baada ys shughuli, wakachukue Conorde tena kuwarudisha London ambapo waliboar KQ VIP yao kurudi Nyumbani.
Kumbe concorde bado zinaruka Mkuu!
 
Tumezoea kuonyeshwa mama anapotua airport mbalimbali akiwa na msafara wake. Hii safari ya Marekani hatujaonyeshwa akiondoka wala akitua Marekani?

Mimi nataka kujua kaenda na ndege gani na kaongozana na watu wangapi ili nijue kwa hizo siku takribani 10 hela yangu ya kodi itatumika kiasi gani?

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Aisee Kama ajaenda na dege letu sio poa ,si Kuna uzinduzi wa ile vedio yetu pendwa, Sasa ile dege letu lina alama ya twiga, mlima kilimanjaro ,si inakua sehem ya kutangaza utalii
 
mtu kapokelewa airporr na diaspora na kina mange sasa watawaonyeshaje live. USA hawana mda kabisa
 
Bado yupo huyo anayefufua misukule
IMG-20210918-WA0056.jpg
 
Tumezoea kuonyeshwa mama anapotua Airport mbalimbali akiwa na msafara wake. Hii safari ya Marekani hatujaonyeshwa akiondoka wala akitua Marekani?

Mimi nataka kujua kaenda na ndege gani na kaongozana na watu wangapi ili nijue kwa hizo siku takribani 10 hela yangu ya kodi itatumika kiasi gani?

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Kikwete alipokuwa anakwenda Jamaica kibembea kwenye mabembeo na Mkewe mbona hukuhoji matumizi ya kodi yako?

Au wakati huo ulikiwa bado upo chekechea???
 
Juzi nilileta uzi humu kuwa Uenda hatutqonyeshwa usafiri atakaoutumia Mama na yote kisa atapigwa vijembe kuwa kuna kidume kilibana kikanunua yeye anatanulia tu ila kwa bahati mbaya ule uzi uneondolewa japo yanetimia tumefichwa.
Wivu mkuu sio mkuu.
 
Ndege sio gari

Nilijifunza kwa jirani yetu ambaye alikuwa mtu wa safari mingi. Kabla ya kusafiri na gari lake tukimsikia akitoa maelekezo kwa fundi wake. Nikao niwape ushauri ATCL ili waepuke maneno ya shombo ya yule Baba Askofu nshomile aliye toa kirefu cha Anytime.....

...
 
Back
Top Bottom