Rais Samia, je ripoti ya fedha zote zilizotolewa hazina kuanzia Januari hadi Machi kama ulivyowaagiza CAG na Gavana wazipitie, umeiona?

Mama no
Mar 28, 2021 · RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Prof. Florence Luoga na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, wampatie ripoti ya matumizi ya fedha za utekelezaji wa miradi ya maendeleo, zilizotolewa hazina kuanzia Januari hadi Machi 2021.

View attachment 1797752
Nanukuu: Nitoe agizo kwenu (CAG) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga yupo hapa, nenda pitia fedha zote zilizotoka kuanzia Januari hadi Machi, zilizokwenda kwenye miradi ya maendeleo tunataka kuziona.

Je Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, hii ripoti tayari umeiona na kama bado, itakuwa tayari lini

Je Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, hii ripoti tayari umeiona na kama bado, itakuwa tayari lini?
"Uswahili tu"
 
Uswahili tu"
 
This lady is walking on eggs loaded with dynamites......
My friend, the lady has protective gears to handle any kind of explosive known on earth. Above all, she is guided by a well known guru tactician for mining explosives. The tactician is in the first class explosive-miner armour humvee !

Therefore, don't worry about the loaded dynamites; although, detonating the loaded will be catastrophic to vulnerable infantry.
 
My friend, the lady has protective gears to handle any kind of explosive known on earth. Above all, she is guided by a well known guru tactician for mining explosives. The tactician is in the first class explosive-miner armour humvee !

Therefore, don't worry about the loaded dynamites.
Rafiki yako Trump hajambo? Nasikia naye bado anauota Urais! Seriously TUJITEGEMEE, kwa nini kila mara unakuwa upande wa malimbukeni kama jiwe? Yaani unavyoyatetea majitu ya aina hiyo, it's sad!
 
Rafiki yako Trump hajambo? Nasikia naye bado anauota Urais! Seriously TUJITEGEMEE, kwa nini kila mara unakuwa upande wa ? Yaani unavyoyatetea majitu ya aina hiyo, !
Ha ha ha a! Mkuu niache kwanza tumalize hili ulilolitea jukwaani. Asante kwa kwa kunifanya nitabasu muda huu.:)
 
Bila kumung'unya maneno ndugu yangu, sisi wengine tunachodai ni haki, uhuru na utawala unaofuata sheria. Hatuwezi kumnyamazia Kiongozi asiyeheshimu Katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea...huo unafiki hatuna kabisa! Ndio maana, maneno ya awali ya Rais Samia Suluhu Hassan tuliyachukulia kwa uzito wake pale alipoahidi kuzingatia sheria.

Lakini tatizo liko CCM ambako unafiki umetamalaki na hivyo kwa mazoea tu inawapa watu madaraka yanayowazidi kimo. Mifano iko mingi na kauli ya mama Samia kuwa ataheshimu Katiba ilitupa faraja kwa kiasi fulani. Katiba hiyo hiyo, kama inamkwaza, inampa uwezo na taratibu za kuibadilisha kikatiba na kufanikisha hilo bila kuvunja sheria.

Tukifikia hapo, hatuna ugomvi na kiongozi kama huyo. Bahati mbaya viongozi wa aina hiyo si rahisi kupatikana ndani ya CCM na hilo ndilo tatizo kubwa hapa Tanzania. Hatuna hata rejea ya uongozi wa nchi nje ya CCM kwani kimeng'ang'ania kubaki madarakani kwa njia zozote zile hata kama uwezo na sifa ni haba ndani yake. Matokeo tunapata hadi mawe.
 
Ripoti ameishaipokea , shida ipo wahusika ni very close to her , kaamua kufunika kombe wanaharamu wa kijani kibichi wapite either ameiweka akiba dhidi ya maadui zake Sukuma gang siku wakinyanyua shingo aitumie .
 
Back
Top Bottom