Rais Samia, je ripoti ya fedha zote zilizotolewa hazina kuanzia Januari hadi Machi kama ulivyowaagiza CAG na Gavana wazipitie, umeiona?

Hata kule Kibaha 2018 aligoma kufungua stendi ya Bus zinazokwenda bara na akaahidi kurudi baada ya wiki mbili tatu hivi, watu wakaenda kuloga makwao basi mpaka wa leo nafikiri hata akipita hapo huwa haioni kabisaaa
Da ni kweli nimekumbuka mkuu
 
mdau kama unayo ichapie hapa,tuondokane na ganzi iliyompata Raisi Samia ,alikuwemo kwenye serikali ya Mheshimiwa Magufuli pengine huwezi jua mahesabu yamemgusa.
 
mdau kama unayo ichapie hapa,tuondokane na ganzi iliyompata Raisi Samia ,alikuwemo kwenye serikali ya Mheshimiwa Magufuli pengine huwezi jua mahesabu yamemgusa.
Ohooo...!
Kivuli-cha-mwendazake.jpg
 
Back
Top Bottom