Rais Samia ili kuweka mizani sawa usiishie kwa Mbowe tu, msamehe na Sabaya pia

Kuingizwa kwa Mbowe kwenye haya mashitaka imekuwa faida sana kwa wale makomandoo waliokuwa ndani tayari kwa kesi hii.

Bila kuingizwa Mbowe wangefungwa ama wangekaa rumande kwa muda mrefu zaidi.

Swali ni Je, ni wangapi humu tunaweza kubambikiwa kesi halafu akaunganishwa Mbowe kwenye kesi yetu?

Hapo ndipo mtajua kwanini katiba mpya ni muhimu.

Kwenye nchi yenye watu zaidi ya milioni 60, watu wanaweza kukuweka ndani miaka mingi, halafu siku moja, jamaa waliokuweka ndani wakasema hatuna nia ya kuendelea na kesi, na mambo yakaishia hivyo tu.

Tutakapokuwa wakubwa tutadai uamuzi wa kutokuwa na nia ya kuendela na kesi uwe na maelezo ya sababu za kutosha.

Il kama kesi ilikuwa ya kubumba kuwe na watu wa kuwajibika. Kama kuna jinai kweli hukumu itoke kama wanavyohukumiwa wakosaji wengine wa kosa hilo.

Leo nimekupa like kwa sababu ni kama umeongoka!! Nami nilisema hivo hivo, kesi hii ilikuwa ni ya makomandoo na sio hawa tu, na wengine walioachiwa bila mashtaka. Kesi hizi zilikuwa ni za mambo Kibiti na Ntwara/Nsumbiji. Walioondoshwa jeshine walitakiwa kushikiliwa kwa sababu mauaji ya Kibiti yalifabywa kwa mbinu za hali ya juu bila kuacha traces!!

Kuingizwa kwa Mbowe katika kesi hii ndio pona ya watu waliokuwa na silaha na iliyoitwa mipango ya kufanya ugaidi.

Tuache mitazamo ya kichama, tutizame mambo kwa haki! Tunahitaji mifumo inayotoa haki!
 
Nina namba za zumaridi wkt fln tuliwasiliana nae nimuuzie bati za msouth Ana fika Bei vzr Sana nilikula miato yake ya udalali wa bati
 
ili kuwa fair Sabaya naye alitakiwa afutiwe kesi na kusamehewa, maana waliokuwa wanamtuma miongoni mwao bado serikalini tena ni vigogo kweli kweli
 
msamehe sabaya hana kosa sabaya kosa lake ni kumuangusha mbowe ubunge hilo tu ndio maana hawampendi chadema
 
Ni ujumbe kwa mama yetu na Rais wetu mpendwa KWAMBA
Ndugu Sabaya wakati akitekeleza majukumu ya ukuu wa wilaya HAI kibinadamu alifanikiwa na kibinadamu kuna sehemu alikosea.

SABAYA ametambua na amejutia makosa yake;
SABAYA amekuomba na kuomba msamaha; NA
Sisi watanzania hususan wanaccm tulionufaika na moja kwa moja na kazi za ujenzi wa chama zilizofanywa na SABAYA akiwa HAI tunamwombea msamaha. Haitakuwa mara ya kwanza kwa Serikali yetu kutoa huruma na msamaha "Babu Seya".

Baada ya mfungo mtukufu naomba usikie kilio cha SABAYA, familia yake, na Watanzania.

Nawasilisha
 
Halafu zile hela alizo wapora watu na kununulia Ma VX mtawarejeshea?
Unataka msamaha kwani yeye Rais yuko juu ya mahakama? Yeye ndiye aliyemtia hatiani kwa kesi ya unyang'anyi?
 
Upo serious kweli?
Na wale waliumizwa wasamehewe na nani?
Wengine wamepoteza viungo
Upo sawa kweli
Mbona mna ubinafsi uliopitiliza 'eti tulionufaika na sabaya
Mungu wetu hajalala usingizi
 
Ni ujumbe kwa mama yetu na Rais wetu mpendwa KWAMBA
Ndugu Sabaya wakati akitekeleza majukumu ya ukuu wa wilaya HAI kibinadamu alifanikiwa na kibinadamu kuna sehemu alikosea.

SABAYA ametambua na amejutia makosa yake;
SABAYA amekuomba na kuomba msamaha; NA
Sisi watanzania hususan wanaccm tulionufaika na moja kwa moja na kazi za ujenzi wa chama zilizofanywa na SABAYA akiwa HAI tunamwombea msamaha. Haitakuwa mara ya kwanza kwa Serikali yetu kutoa huruma na msamaha "Babu Seya".

Baada ya mfungo mtukufu naomba usikie kilio cha SABAYA, familia yake, na Watanzania.

Nawasilisha
Mipesa alioiba na kupora watu wanadai zaidi 600m kwa ujumla hapo kwa uchache.....akisamehewa basi serikali pia imlipie madeni yake yote
 
Mkuu, Ebu acha mara moja kutusemea Watanzania kwa ujumla. Sema wewe ndo unamuombea msamaha.

Sabaya makosa yake hayakuwa makosa ya kiutendaji, Ule ulikuwa unyama, mtu anapiga misumari ndani ya mguu wa binadamu kweli?. Mtu anakata binadamu wengine masikio alafu unasemaje?.

Mtu anapora watu rasilimali zao walizozivujia jasho maisha yao yote unasema Watanzania tunamuombea msamaha!.

Mkuu,kufungwa kwa Sabaya ni kati ya mambo yanayomfanya mama aonekane ni mtu anayehitaji na kutekeleza maridhiano ya kitaifa kutokana na mambo ya hovyo yaliyotekelezwa awamu ya tano.

Ungekuwa na hoja kama ungemuomba mama Ndugu Makonda pia apate haki yake ya kisheria.
 
Ni ujumbe kwa mama yetu na Rais wetu mpendwa KWAMBA
Ndugu Sabaya wakati akitekeleza majukumu ya ukuu wa wilaya HAI kibinadamu alifanikiwa na kibinadamu kuna sehemu alikosea.

SABAYA ametambua na amejutia makosa yake;
SABAYA amekuomba na kuomba msamaha; NA
Sisi watanzania hususan wanaccm tulionufaika na moja kwa moja na kazi za ujenzi wa chama zilizofanywa na SABAYA akiwa HAI tunamwombea msamaha. Haitakuwa mara ya kwanza kwa Serikali yetu kutoa huruma na msamaha "Babu Seya".

Baada ya mfungo mtukufu naomba usikie kilio cha SABAYA, familia yake, na Watanzania.

Nawasilisha
Ni ujumbe kwa mama yetu na Rais wetu mpendwa KWAMBA
Ndugu Sabaya wakati akitekeleza majukumu ya ukuu wa wilaya HAI kibinadamu alifanikiwa na kibinadamu kuna sehemu alikosea.

SABAYA ametambua na amejutia makosa yake;
SABAYA amekuomba na kuomba msamaha; NA
Sisi watanzania hususan wanaccm tulionufaika na moja kwa moja na kazi za ujenzi wa chama zilizofanywa na SABAYA akiwa HAI tunamwombea msamaha. Haitakuwa mara ya kwanza kwa Serikali yetu kutoa huruma na msamaha "Babu Seya".

Baada ya mfungo mtukufu naomba usikie kilio cha SABAYA, familia yake, na Watanzania.

Nawasilisha
Ni ujumbe kwa mama yetu na Rais wetu mpendwa KWAMBA
Ndugu Sabaya wakati akitekeleza majukumu ya ukuu wa wilaya HAI kibinadamu alifanikiwa na kibinadamu kuna sehemu alikosea.

SABAYA ametambua na amejutia makosa yake;
SABAYA amekuomba na kuomba msamaha; NA
Sisi watanzania hususan wanaccm tulionufaika na moja kwa moja na kazi za ujenzi wa chama zilizofanywa na SABAYA akiwa HAI tunamwombea msamaha. Haitakuwa mara ya kwanza kwa Serikali yetu kutoa huruma na msamaha "Babu Seya".

Baada ya mfungo mtukufu naomba usikie kilio cha SABAYA, familia yake, na Watanzania.

Nawasilisha
Sabaya hajamkoeea mama samia,sabaya kawakosea watanzania wote.

Anayeombwa radhi na kutoa msamaha ni aliyekosewa,na sabaya kawakosea watanzania.

Inatakiwa muwaombe radhi watanzania,lakini kwa ujinga wenu bado mnaona watanzania hawajaguswa na kukosewa na sabaya.

Mama naomba usimsamehe sabaya atleast arudishe aliyowadhulumu watu na kuwafanyia mabaya kama ambavyo mahakama imemtia hatiani.
 
..Je, Sabaya amejutia makosa yake? Amewaomba msamaha aliowakosea?

..kama unasema Ccm ilifaidika na mambo mabaya aliyoyafanya Sabaya basi chama kinapaswa kuwaomba msamaha waliokosewa.

..mwisho, waliokosewa na Sabaya wanastahili kulipwa fidia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom