MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,345
- 11,227
Tunaweza kubishana sana, lakini ukweli ni kwamba chembe chembe za ukabila zipo!Akidhibiti vyombo vya habari na akazuia siasa za ushindani, ulitumia kipimo gani kujua ukweli huo? Angeheshimu wangalau box la kura tungeweza kujua kukubalika kwake eneo hilo. Sasa hizi propaganda zake ndio umeona ni kipimo cha yeye kukubalika huko?