Rais Samia, ifanye zoezi la kukatwa tozo la simu liwe la hiari

sekion27

Member
Jul 25, 2021
25
45
Serikari embu jaribu munijifikilie hii kodi mukiwa kama wasomi na viongozi wakuu wa nchi, yaani maskini amejichanga mia mbili mbili amefikisha elfu kumi kwenye smu yake unataka umkatake tozo ya serikali pamoja na ya campuni hii inaumiza sana moyo.

Mtu akijachanga amefikisha elfu kumi lakin mwisho wa siku anakuja kutoa elfu nane mia tano, kweli hii ni sahihi.

Embu tujaribu kufikilia musihangalie tu kwa wale wenye mshahara, afu kumbuka wananufuika na msharaha tanzania ni asilimia 8 tu ya watanzania asilimia 92 watoto wa maskini wanatafuta liziki zao wenyew.

Mi ombi langu kwa serikali ya mama samia ifanye hili zoezi la kukatwa tozo la simu liwe la hiari kama ilivotanganzwa kuchanjwa chanjo ya Corona ni hiari kuliko kumlazimisha mtoto wa maskini kumtoza kodi ambayo hujawah hata kufanya nae mahojiano nae,

Sema inaumiza sana tatizo waliosema ni wakuu wa nchi afu ndo wasomi wetu wakuu wa nchi sio mbaya ila tunawaomba walifikilie vizuri kwani wao ndo tunawategemea kwa maamuzi sahihi kwa sababu ni wasomi wakuu na pia viongozi wakuu

Nakushukuru kwa kunielewa kwa haya machache niliyo ongea ni mimi mtoto wa maskini mkeleketwa
 

Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,967
2,000
Hii nchi haikukosewa kuitwa Bongo. Sema tu bongo zetu hazina ushirikiano na vitendo -- maneno tuu mmmmh :)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom