Rais Samia, Hotuba ya Nape na Makamba ni ya kutupumbaza watanzania. Wana jambo lao

Wewe mwenyewe unaligawa taifa kwa kumchagulia Mama amuamini nani na nani asimuamini !! . Hoja zao ni nzuri kuliko kina Msukuma na Kibajaji, wanaolazimisha mawazo yao kuwa itikadi ya nchi.

Odhis *
Mama atanielewa. Ila wewe hutaweza.
 
Kweli naamini kazi ya Uraisi ni ngumu sanaa.
Nakuombea rais wangu Mungu akujalie imani na nguvu ya kuliongoza Taifa letu.
 
Back
Top Bottom