Na zile tulizoongeza thamani je?Gas ya kupikia, mahindi, vitunguu, soda soda, , makaa ya mawe,
Unless unanunua hizo bidhaa kwa mzalishaji kwa sababu ya kuja kufanyia biashara Tanzania.Kwa wale tunaoishi mpakani hii na nafuu kwetu kubwa sana, mipakani mfano Tarime Vijijini kukutana na vifaa vya Tanzania ni nadra sana. Hii itatusaidia upande wa ujenzi (cement), mafuta ya kula maana Kenya vina bei nafuu sana, sabuni, chumvi..!
Pia Kenya kuna soko nzuri sana la kuuza mahindi
Kweli nchi iimefunguliwa....Yaani juice?! Dah...ok...Mama Samia popote ulipo nakupa hongera Sana kwa hatua hii uliyofikia.
Mimi naweza kuwa tofauti na wengine kwenye kuliangalia hili suala. Bidhaa nyingi za ndani hazina ubora kabisa hivyo kuanza kuruhusu bidhaa za Kenya kuanza kuingia ni hatua kubwa na ambayo itawaamsha usingizini wafanyabiashara wa bongo kuanza kutengeneza bidhaa kwa ubora mkubwa sana.
Mfano hadi Sasa bidhaa Kama juices, unga wa ngano n.k zimesharuhusiwa kuingia Tena bila inspection fee, maana yake ni kuwa hivyo vitu huku tutavipata kwa Bei ndogo na hivyo kufanya bidhaa zinazozalishwa nchini nazo kupungua Bei na hatimaye kupunguza inflation.
Hii ni hatua nzuri Sana Mama Samia, wenye viwanda ni wakati wao Sasa wa kunoa vichwa na kutengeneza bidhaa Bora ili kupambana na hizo za wakenya.
Hii ni survival of the fittest, wataoweza kupambana na bidhaa za Kenya wapambane na wataoshindwa basi ruksa kufunga hivyo viwanda.
Miaka mingi tumelia ubora wa bidhaa za ndani , Sasa Mama kaja kafungua nchi hivyo hii ichukuliwe Kama challenge kwenye nyie wenye viwanda ambao mlikuwa mnazalisha juice zisizo na ubora au mnazalisha unga kwa bei kubwa.
Kongole Mama Samia, kazi iendelee........
View attachment 1805046
nimefikiria sana kauli yako mkuu nimekuelewa...maana hatujui kwa nn sisi maskiniAondoe na ushuru kwenye bidhaa za maziwa kutoka nje ili wenye viwanda vya maziwa wakina ASAS, na wewnzie.....wajute na wakipate cha mtema kuni...... maana hawa wenye viwanda vya maziwa walikuwa ni mawakala wa mwendazake wametuchelewesha sana
Sasa jamaa unachoshangaa ni nini? Mbona masupa maketi yamejaa mijuisi ya kemikali kutoka uarubuni iweje iwe ajabu kwa juisi za Kenya?Kweli nchi iimefunguliwa....Yaani juice?! Dah...ok...
Wachumi tafadhali njoo kwanza mshushe nondo kwanza , imekaa vipi? Faida na mapungufuMama Samia popote ulipo nakupa hongera Sana kwa hatua hii uliyofikia.
Mimi naweza kuwa tofauti na wengine kwenye kuliangalia hili suala. Bidhaa nyingi za ndani hazina ubora kabisa hivyo kuanza kuruhusu bidhaa za Kenya kuanza kuingia ni hatua kubwa na ambayo itawaamsha usingizini wafanyabiashara wa bongo kuanza kutengeneza bidhaa kwa ubora mkubwa sana.
Mfano hadi Sasa bidhaa Kama juices, unga wa ngano n.k zimesharuhusiwa kuingia Tena bila inspection fee, maana yake ni kuwa hivyo vitu huku tutavipata kwa Bei ndogo na hivyo kufanya bidhaa zinazozalishwa nchini nazo kupungua Bei na hatimaye kupunguza inflation.
Hii ni hatua nzuri Sana Mama Samia, wenye viwanda ni wakati wao Sasa wa kunoa vichwa na kutengeneza bidhaa Bora ili kupambana na hizo za wakenya.
Hii ni survival of the fittest, wataoweza kupambana na bidhaa za Kenya wapambane na wataoshindwa basi ruksa kufunga hivyo viwanda.
Miaka mingi tumelia ubora wa bidhaa za ndani , Sasa Mama kaja kafungua nchi hivyo hii ichukuliwe Kama challenge kwenye nyie wenye viwanda ambao mlikuwa mnazalisha juice zisizo na ubora au mnazalisha unga kwa bei kubwa.
Kongole Mama Samia, kazi iendelee........
View attachment 1805046
Tangia lini mtoto akatembea bila kutambaaKweli ni fake mno na bila kusahau ubora na uzuri wa mwonekano, bei juu na taste kubadilika kila mara kwenye bidhaa hiyo hiyo, utamu pia Kama ni bidhaa ya kula haupo.
Kwani sisi tumezuiwa kuzalisha?Tangia lini mtoto akatembea bila kutambaa
Nchi hii imefanyiwa figisu nyingi tangu ukoloni na wawekezaji wa kikoloni ili tuwe soko kwa bidhaa za Kenya
Nyie shabikieni ila madhara yake yatakutafuna wewe mpaka ukoo wako
Nchi hii tunahitaji kiongozi anaetambua wapo tumetoka na wapi tunaenda
Sasa nyie fungeni kanga kiunoni, chezeni kigodoro huku viwanda vya ndani vikifa na wananchi wakikosa ajira
Kwani tanzania hakuna viwanda vya juice na ngano vinavyoweza kuuza Kenya? Acheni hizo sera zenu za kizamani!^Nafungua nchi^
Even the hyper-power USA would never agree with this reckless move!!!
Matunda si yanatoka Tanzania?na mkulima wa Tz ndio anafaidika zaidi au?!!Kweli nchi iimefunguliwa....Yaani juice?! Dah...ok...
Faida ni kubwa kuliko hasara, faida kuu mojawapo ni tunaenda kumpa mwananchi bidhaa bora na kwa bei nafuu, hasara kuu ni viwanda legelege vinaenda kufa hivyo kutishia ajira kadhaaa za wananzengo, hii nimeongea kwa ufupi zaidi.Wachumi tafadhali njoo kwanza mshushe nondo kwanza , imekaa vipi? Faida na mapungufu
Acheni kukariri notisi za fomu two, miaka 30 mtoto badogo tu anatambaa? Hatuwezi miaka nenda rudi tunakumbatia Sera mbovu za kulinda kundi dogo huku tukiumiza kundi kubwa hapana kwa kweli, yaani tufanye protectinism kwa ajiri viwanda kuhofia ajira za raia elf10 huku tukiumiza mamilioni ya raia kwa kuwalisha bidhaa feki na ghali, kwa kweli hapana.Tangia lini mtoto akatembea bila kutambaa