Rais Samia hongera kwa kukataa kukata Bendera ya Taifa kutoka TBC

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Kwanza nianze kumpongeza Mh Rais kwa siku yake ya kuzaliwa,binafis Huwa sisherekei siku kuu ya kuzaliwa kwangu kamwe na sito fanya hivyo kamwe Iko siku nitaeleza.

Naomba nielezee kisa kimoja kilichowai niumiza Sanaa dhidi ya Bendera ya nchi ya Tanzania.

Siku moja nilikuwa pale osterbay polisi dar esalaam uwanjani naangalia Mpira ilipofika saa kumi na mbili ilipigwa filimbi Ili ishushwe Bendera kwa mantiki hiyo Kila mmoja wetu tulitakiwa kusmama na kutulia pasipo kutikisika.

Tulitii filimbi ile tukasimama, niliumia nilipo muona askari aliye kuwa anashusha Bendera na filimbi mdomoni akitokwa na USHUZI Tena kwa sauti kubwa kwa kweli kabla Bendera haijafika chini tulijikuta wote tunaangua kicheko,yaliyojili baada ya hapo ndugu zangu ni kipigo kwetu tulio Cheka.

Mafunzo niliyonayo Mimi hata leo nikikuta Bendera inashushwa walah hata ushuzi ukinibana siwezi jiachia mithili ya yule bwana.

Leo nimeshangaa Sanaa kuona Chombo kikubwa kama TBC1 kinatengeza keki yenye rangi ya Bendera ya Taifa na kumpelekea Mh Rais hivi Bendera mnaijua thamani yake?

Hivi sheria inasemaje ukikiuta mtu kaishusha Bendera na anaichanachana?Kuna tofauti gani na kumpa mtu keki Ili aichane chane au haikate Kate hamuumii nyiny?

Dr Ayubu kweli hii ilipitishwa nawewe?

NakupongeZa Rais kwa kukataa kukata sehemu yenye Bendera.

Kheri ya kuzaliwa mama Mh Raisi,natamani nikutumie kawimbo ka kaarabu userebuke mama.
 
Rioba kachanganyikiwa sana hajitambui kabisa. Ujue sijui ni PHD holder gani huyu. Ukimsikia akiwa anaiongelea TBC utadhani kafanya mambo makubwa sana hapa duniani. Sasa mtu na akili zake timamu anatengeneza kike yenye bendera ya taifa halafu ikakatwe. Hajui kama sherehe ya mtu kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa ni binafsi na sio suala la kitaifa. Anatakiwa ajutie aibu aliyopewa na SSH kujipendekeza kukizidi unakuja kujiaibisha. RIOBA HAFAI KUWA TBC.
 
Huyu RIOBA hakujiuzulu?
 
Ni zao la Chuo Cha Jalalani
 
Hebu tuangalie kama kuna unafiki au tuache unafiki mara moja.

Ni kwenye tukio gani iliwahi tokea Rais wa nchi 'akaletewa' chakula kutoka kwa waandaaji wa sherehe pasipo usalama wa rais kuhusishwa?.

Siyo porojo; Baadhi mnaomtaja Dr. Ryoba kama muhusika kwenye hiyo keki mna ule unafiki wa kiafrika ninao usema humu JF, hata kama Keki imeandaliwa na TBC lazima vijana wa usalama wa rais wamehihakikisha hama imeandaliwa nao ndiposa Dr kupitia TBC wamehusika.

Kipindi kile cha comrade JJPM alikuwa akitafuna mahindi, kunywa kahawa au hata tukimuona akibeba vikapu vya samaki feri, humu humu jf mlikuwa mkiwasonda vidole waliokuwa wanauza kahawa, mahindi au yule mama aliyedondoka akilia kwenye corridor za muhimbili kuwa ni mmoja wao, kuwa raia wa kawaida hasingeweza kuachwa pale without senses.

Sasa leo issue ya cake mnaanza kumnanga brother Ryoba, waafrika wenzangu tuache au tupunguze unafiki, roho mbaya, husuda na kutakiana mabaya haitakuwa na nafuu kwa maisha yako au jamaa zako.

👉🏾 Binafai naendelea kujifunza tabia ya binadamu.
 
Saizi bendera haiheshimiki,ndiyo maana hata mtu mwenye baiskeli anaweka...... zamani ilikuwa saa 12 ukisikia filimbi unasimama ulipo
 
Rioba kachanganyikiwa sana hajitambui kabisa. Ujue sijui ni PHD holder gani huyu. Ukimsikia akiwa anaiongelea TBC utadhani kafanya mambo makubwa sana hapa duniani. Sasa mtu na akili zake timamu anatengeneza kike yenye bendera ya taifa halafu ikakatwe. Hajui kama sherehe ya mtu kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa ni binafsi na sio suala la kitaifa. Anatakiwa ajutie aibu aliyopewa na SSH kujipendekeza kukizidi unakuja kujiaibisha. RIOBA HAFAI KUWA TBC.
Wew na wenzio mna lenu jambo sio bure
 
Saizi bendera haiheshimiki,ndiyo maana hata mtu mwenye baiskeli anaweka...... zamani ilikuwa saa 12 ukisikia filimbi unasimama ulipo
Waache waweke watu wawe proud na bendera na nembo ya taifa. Mbele unakuta mtu hadi kaweka bendera mlangoni kwake. Kwasababu ya sheria za ajabu, vijana unakuta wanavaa ma tshirt kofia, zina bendera za US na Jamaica.
Acha watu wawe proud na bendera ya nchi yao, hata mtu anabaiskeli anafunga bendera huo ni upendo.
 
Hebu tuangalie kama kuna unafiki au tuache unafiki mara moja.

Ni kwenye tukio gani iliwahi tokea Rais wa nchi 'akaletewa' chakula kutoka kwa waandaaji wa sherehe pasipo usalama wa rais kuhusishwa?.

Siyo porojo; Baadhi mnaomtaja Dr. Ryoba kama muhusika kwenye hiyo keki mna ule unafiki wa kiafrika ninao usema humu JF, hata kama Keki imeandaliwa na TBC lazima vijana wa usalama wa rais wamehihakikisha hama imeandaliwa nao ndiposa Dr kupitia TBC wamehusika.

Kipindi kile cha comrade JJPM alikuwa akitafuna mahindi, kunywa kahawa au hata tukimuona akibeba vikapu vya samaki feri, humu humu jf mlikuwa mkiwasonda vidole waliokuwa wanauza kahawa, mahindi au yule mama aliyedondoka akilia kwenye corridor za muhimbili kuwa ni mmoja wao, kuwa raia wa kawaida hasingeweza kuachwa pale without senses.

Sasa leo issue ya cake mnaanza kumnanga brother Ryoba, waafrika wenzangu tuache au tupunguze unafiki, roho mbaya, husuda na kutakiana mabaya haitakuwa na nafuu kwa maisha yako au jamaa zako.

Binafai naendelea kujifunza tabia ya binadamu.
Mkuu, umemuelewa mtoa maada lakini!?
Au mimi ndiye sijaielewa maada?
 
Kuna swali limeulizwa hapa na sijaona jibu lake. Huyu Ryoba bado yuko TBC? Kuna wakati ilisemekana alijivua gamba au haikuwa hivyo?
 
kwa hiyo yeye ndio aliipika? acheni upuuzi Keki inatolewa tenda mtu anaitengeneza basi

kwa sababu za kiusalama, Keki ile Raisi haili ndio maana umeona kalisha watu ila yeye hujuona akiila. Thats it
 
Hebu tuangalie kama kuna unafiki au tuache unafiki mara moja.

Ni kwenye tukio gani iliwahi tokea Rais wa nchi 'akaletewa' chakula kutoka kwa waandaaji wa sherehe pasipo usalama wa rais kuhusishwa?.

Siyo porojo; Baadhi mnaomtaja Dr. Ryoba kama muhusika kwenye hiyo keki mna ule unafiki wa kiafrika ninao usema humu JF, hata kama Keki imeandaliwa na TBC lazima vijana wa usalama wa rais wamehihakikisha hama imeandaliwa nao ndiposa Dr kupitia TBC wamehusika.

Kipindi kile cha comrade JJPM alikuwa akitafuna mahindi, kunywa kahawa au hata tukimuona akibeba vikapu vya samaki feri, humu humu jf mlikuwa mkiwasonda vidole waliokuwa wanauza kahawa, mahindi au yule mama aliyedondoka akilia kwenye corridor za muhimbili kuwa ni mmoja wao, kuwa raia wa kawaida hasingeweza kuachwa pale without senses.

Sasa leo issue ya cake mnaanza kumnanga brother Ryoba, waafrika wenzangu tuache au tupunguze unafiki, roho mbaya, husuda na kutakiana mabaya haitakuwa na nafuu kwa maisha yako au jamaa zako.

Binafai naendelea kujifunza tabia ya binadamu.
Hili tukio linafanana na alipokwenda Kilimanjaro kwenye utamaduni... Alipopewa mbege au watu hawakuona nini kilitokea?
 
Rioba kachanganyikiwa sana hajitambui kabisa. Ujue sijui ni PHD holder gani huyu. Ukimsikia akiwa anaiongelea TBC utadhani kafanya mambo makubwa sana hapa duniani. Sasa mtu na akili zake timamu anatengeneza kike yenye bendera ya taifa halafu ikakatwe. Hajui kama sherehe ya mtu kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa ni binafsi na sio suala la kitaifa. Anatakiwa ajutie aibu aliyopewa na SSH kujipendekeza kukizidi unakuja kujiaibisha. RIOBA HAFAI KUWA TBC.
Kwani kipanya anasemaje kuhusu hili jambo?
 
kwa hiyo yeye ndio aliipika? acheni upuuzi Keki inatolewa tenda mtu anaitengeneza basi

kwa sababu za kiusalama, Keki ile Raisi haili ndio maana umeona kalisha watu ila yeye hujuona akiila. Thats it
  1. Nani alaumiwe, Aliyetoa order ya keki? Au Aliyetengeneza keki?
  2. Mama unalisha wanao kitu ambacho wewe huli, implication yake ni kwamba kama ina madhara basi wadhurike wanao.
  3. Kutokula keki ya Rioba ni ishara kuwa haaminiki🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom