Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,404
Acha kujipa upofu na kujilazimisha kuwa mpumbavu.Mkisikia ^kula^ tu mnajua ni ufisadi? Najua fika kwamba utawala huu ni ponga katika suala la matumizi ya mali za umma na udhibiti wa pesa, kuliko ile ya JPM, lakini hapa Bi Mikopo anamaanisha matumizi ya mamlaka. Watendaji wake wasiingiliane na kugombana katika kutekeleza majukumu ya ^sirikali.^
Don't be so closed-minded. Anyweiz, politics inatendensi ya kukapitolaizi kwenye mambo tata na seemingly negative.
Samia ametoa mifano mingi jinsi miradi inavyokuwa haikamiliki kutokana na ufisadi uliopitiliza(Kula hadi kuvimbiwa) na ametoa mifano ya miradi ya meli pamoja na barabara.Halafu unadai kuwa hazungumzii ufisadi?!
Unavyojilazimisha kuwa mpumbavu unapata faida gani?