Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,499
- 17,572
Wanafanya safari zisizo na Tina kwa nchi na wananchi ,mm nilimjua mapema kuwa mama ni limbukeni kama siyo athari chanya za magufuli leo mama angekuwa kesha tembelea nchi za ulaya zaidi ya 12Siyo Samia tu mwenye kupenda kuzunguuka zunguuka nchini na kushinda angani. Kuna misafara ya mawziri, maktibu wakuu, watumishi wengine kutwa kucha wako barabarani Dar-Dodoma, Dodoma-Dar. Yaani imekuwa serikali ya kusafirisafiri tu, Hawatulizani sehemu moja
Tatizo siyo safari yao, tatizo ni kuwa hizi safari ni gharama kwa mlipa kodi!