Rais Samia Hassan anavunja trend hii ya toka enzi za Nyerere

ALI HASSAN MWINYI
SAMIA SULUHU HASSAN

ina maana hizo HASSAN HASSAN pia huzioni ama? Hivyo kama hoja ni majina, basi Samia naye yumo humo humo.
 
Majina ya utani mengi ndiyo hubeba maana ya tabia ya mtu husika.
Lakini Jina rasmi ni Utambulisho tu, halibebi maana na tabia husika ya mtu.
Kama huamini hilo basi ukipata mtoto muite Muhammad au muite jina Jesus halafu uone kama atakuwa kitabia kama watu hao wakuu wenye hayo majina.

Jina Jesus linatumika sana katika nchi zinazoongea lugha ya Kireno au Kihispania. Ni kawaida katika nchi hizo kukuta mtu anaitwa Jesus.

Pia inawezekana mtu jina lake la kwenye passport likawa ni Jesus au Muhammad, lakini cha ajabu mtu huyo akawa ni Mlevi, Katili, na Mtu wa deals haramu haramu, au hata akawa shoga pia.

Point yangu ni kwamba jina rasmi halibebi maana halisi ya tabia ya mtu husika.

Kama suala ni mtiririko wa majina ya Rais wa Tanzania, basi rejea Ali HASSAN Mwinyi. Na Rais wa sasa naye ni Samia Suluhu HASSAN.

Mimi siyo muumini wa herufi za majina ya Rais waliopita na waliopo, lakini kama mada ni majina basi na Samia Suluhu HASSAN naye jina halipo mbali sababu kuna Ali HASSAN Mwinyi.

Hizo HASSAN HASSAN hizo.
 
Awamu hutenganishwa na chaguzi za kila miaka 5-10, Rais anapotoka madarakani kwa utaratibu wa uchaguzi maana yake inaingia awamu nyingine.

Unawezaje kuiita hii awamu ya sita ikiwa sera ni zile zile, ilani ya chama cha siasa (CCM) ni ile ile plan ya serikali ni ile ile, mpaka sasa Baraza la mawaziri ni lile lile, aliyebadilika ni Rais tu.

2025 tutaanza awamu ya sita hata kama Rais akibaki Mh. Suluhu Hassan.
Samia akigombea na kushinda 2025 atakuwa kaongoza awamu mbili?
Hapo kwenye baraza la mawaziri.... nalo pia linaendana na awamu? Awamu ya Kkwete unaikumbuka?
 
Mtapiga ramli yaani mpaka mkome huyo ndiyo MPAKWA MAFUTA wa awamu ya sita. Tulia uongozwe
 
1. Awamu ya kwanza - watu walifulia majani ya mpapai - Njaa Njaa - Christian
2.Awamu ya Pili Ruksa - Full Bata hela Nje nje -Muslim
3.Awamu ya tatu - Mkapa - Full Ukata Full Ukapa - Christian
4.Awamu ya nne - Jakaya - Maisha bora kwa kila mtanzania - Muslim.
5.Awamu ya tano - Magufuli - Watu waliishi kama mashetani - Christian.
6.Awamu ya sita - Samia - ???? - Muslim.

Kwa sie tuliosoma sequence na series unajua kinachofuata.
 
Kiukweli mimi sio mpenzi wa maccm toka enzi na enzi but kwa mama namkubali personally na nimefurahi yeye kuwa Rais
 
1. Awamu ya kwanza - watu walifulia majani ya mpapai - Njaa Njaa - Christian
2.Awamu ya Pili Ruksa - Full Bata hela Nje nje -Muslim
3.Awamu ya tatu - Mkapa - Full Ukata Full Ukapa - Christian
4.Awamu ya nne - Jakaya - Maisha bora kwa kila mtanzania - Muslim.
5.Awamu ya tano - Magufuli - Watu waliishi kama mashetani - Christian.
6.Awamu ya sita - Samia - ???? - Muslim.

Kwa sie tuliosoma sequence na series unajua kinachofuata.
Waislamu hawajawahi kutuangusha kwanza Wana ka utu japo shida ya uongozi wao ni kuibuka kwa magenge ya mujahidina yanayosumbuaga wengine
 
Back
Top Bottom