Rais Samia hakuna Wabunge wa upinzani watakaofanya siasa majimboni mwao, Kwa hili umepotoka

Rufiji dam

JF-Expert Member
Feb 20, 2020
3,803
8,786
Rais Samia jana akiongea na wanahabari ambapo alitoa fursa kwa kuulizwa maswali. Moja ya swali kwake gumu ni ile amri katili ya kupokonya uhuru wa vyama vya siasa kufanya mikutano. Wengi tunajua uhuni wa CCM pamoja na Tume walivyotumika kupoka nafasi ya Watanzania kuchaguana.

Moja ni kupoteza viti vingi vya majimbo kwa vyama vya upinzani. Sasa Mama nae anaendelea kupiga marufuku mikutano hiyo huku akiruhusu uwepo wa mikutano ya ndani!!

Ama Wabunge wafanye mikutano katika majimbo yao, jambo hili ni kuipa nguvu na uimara CCM kujiweka sawa na Uchaguzi wa 2025. Sasa suala moja hapa ni wapi kuna wabunge wa upinzani?

Mama kama kweli unahitaji upendwe na uweze kuibeba award ya Mo Ibrahim achia uwanja uwe sawa.
 
Viongozi wa Nchi hii ni Tatizo sana
 
Back
Top Bottom