pasconyamwihura
Member
- Sep 2, 2021
- 36
- 9
Jizi namba moja mwenyezi mungu karichukuaMnakamatwaje wakati nyie MAJIZI ndio mlioshika serikali? We ulisikia wapi JIZI linajikamata?
Halafu pia tutajifukizaje wakati kuna magunia ya dozi za chanjo zilizokuja na dollars!
Chezea dollars wewe! MAJIZI mnafakamia pesa za mzungu bila kunawa!
Wagonjwa wa corona wamefika wangapi sasa hivi? Laki ngapi?
Nasikia pia makaburi yamepanuka? Mnapanua viwanja vya makaburi ya wafu wa corona?