Rais Samia, fanya mabadiliko ya wasaidizi wako hasa Kwenye hotuba; unaweza ukawa na wasomi ila siyo wataalam wala wazoefu

Hotuba za kiwerevu ndiyo zipi? Zile za kusema "Baki na mavi yako nyumbani"? Ndiyo mnataka?

Uwezo wenu wa kufikiri umeathiriwa na dikteta wa Chato. Go to hell as well
Jipange kabla hujaleta hoja zako humu!
 
Back
Top Bottom