The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,589
- 14,136
Of course inakuaje watu hawajiridhishi na hotuba ya Rais kabla ya kuitoa public?Mfano hotuba ingejitika katika masuala yafuatayo!
I) Mambo ya makusanyo ya tozo ili kupunguza sintofahamu kwa wananchi jinsi ya matumizi yake!
ii) Demokrasi na uhuru wa vyombo vya Habari na Vyama vya sasa.
iii) Hatima ya katiba mpya
iv) Ufafanuzi wa deni la Taifa ili kuwafanya wananchi waweze kuelewa kwa undani na kutoa taharuki kwa wananchi!
V) Mwendelezo wa miradi nyeti kama Hospital za kanda, mikoa, wilaya na vituo vya afya na ujenzi wa viwanja vya ndege, barabarani juu na madaraja kama Mto wami nk!
Vi) Jinsi ya kukabiliana na upandaji wa gharama za maisha ikiwemo jinsi ya kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa mvua maana kwa mwaka huu hali ya mvua sio nzuri kwa maeneo mengi ya nchi!
vii) Kutoa mwelekeo wake wa kisera na kimkakati kuweza kukuza uchumi na kuimarisha hali za za wananchi mfano machinga baada ya kutolewa barabarani serkali yake inaendelea na mkakati gani!.
Mwisho nashauri wasaidizi wa Rais Samia wajitahidi kuandaa hotuba ambazo zitaleta ufafanuzi wa kutosha kwa wananchi badala ya kuengelea mambo mepesi yasiyo na tija kwa msitakabari wa Taifa!
Rais mfute Kazi mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu..hii dola za Marekani bilioni 6,250 ni pesa ambayo inazidi GDP yote ya Africa..
Makosa yapo ila kujirudia rudia sio sawa,hapo ilitakiwa isomeke dola za Marekani milioni 6,250 sawa na Shilingi til.14 na bil.600 .