Rais Samia, fanya haya katika suala hili la kuahirishwa kwa mechi ya Simba na Yanga

zimmerman

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
1,628
3,154
Mama Samia mimi bado nakupenda na nataka ufanikiwe katika miaka yako hii minne iliyobaki, na kama ukifanya vizuri njia nyeupe kwako 2025 - 2030.

Ni kweli kwamba kuhairishwa muda kwa mechi ya Simba na Yanga kwa kisingizio cha ajabu kabisa kumetia doa urais wako, tena mapema sana katika awamu yako. Lakini mambo hayajaharibika kihivyo, bado kuna nafasi ya kuzima hasira za watu, kutengeneza na kukonga nyoyo za watu. Naomba mashauri haya katika kulituliza na kulisongesha jahazi.

Moja, jifunze kutoka kwa mtangulizi wako Hayati Dkt. Magufuli. Mtangulizi wako ashawahi kupitia katika kipindi kama hiki ambacho watu walimpa pressure kweli kweli kuhusu Bashite na vyeti feki vyake. Mtangulizi wako alikuwa na ngozi ngumu hasa na ninakushauri na wewe katika kikpindi kama hiki ujitahidi uvae ngozi ngumu -- uwe thick-skinned, wangereza wanasema. Usikurupuke kufanya maamuzi, kama umeshakosea, umeshakosea. Jipe muda, litafakari hili suala, kama kuna la kujifunza kwamba makosa kama haya yasirudie, basi chukua funzo na lisijirudie tena. Kipindi kama hiki si kipindi cha kupaniki, si wakati wa kumtafuta mchawi. Kuna watu bado wanahisi kuna ombwe la uongozi hasa baada ya JPM na hivyo ukikurupuka kusema chochote au kufanya lolote katika kipindi hiki utaharibu zaidi badala ya kujenga maana watu bado wana machungu mengi.

Pili, baada ya upepo kutulia (na kutulia utatulia tu) naamini utakuwa umeshalitafakuri hili suala na utakuwa na statement ya kutoa. Hii statement usiitoe kwa muktadha wa mechi ya Simba na Yanga tu. Hii inapaswa kuwa statement ya hadhi ya urais, yenye kuonyesha kwamba wewe kama Rais wa Tanzania utatumia nafasi yako kuboost sekta ya mpira (pengine na michezo kwa ujumla). Mtangulizi wako alikuwa na aina yake ya kujiconnect na sekta ya mpira na michezo, na wewe tafuta ya kwako pia. Si lazima uwe mwanamichezo kindakindaki, lakini ukiweza kugusa sekta ya michezo/mpira kwa namna moja au nyingine, utaweza kuwagusa sehemu kubwa ya watu wa Tanzania. Nakushauri wewe binafsi usipange kukosa mechi ijayo ya Simba na Yanga. Tafuta namna uwepo uwanjani.

Mwisho, kama nilivyokwisha kudokeza, kuna watu wa kutosha tu katika nchi hii ambao bado wana mashaka kama unaweza au hauwezi. Sasa jionyeshe kuwa unaweza. Na hii sentensi iko loaded, lakini naamini umenielewa. Mama achana na vispeech speech, fanya maamuzi magumu. Toa agizo. Tembelea. Fuatilia. Tekeleza. Kuna sababu kwanini Hayati Magufuli alikuwa effective, na baadhi ya sababu hizo zinapaswa kuwa sababu zako, na mengi ya mambo ya Hayati Magufuli kuwa mambo yako.

Asante.
 
Mama Samia mimi bado nakupenda na nataka ufanikiwe katika miaka yako hii minne iliyobaki, na kama ukifanya vizuri njia nyeupe kwako 2025 - 2030.
Ni kweli kwamba kuhairishwa muda kwa mechi ya Simba na Yanga kwa kisingizio cha ajabu kabisa kumetia doa urais wako, tena mapema sana katika awamu yako. Lakini mambo hayajaharibika kihivyo, bado kuna nafasi ya kuzima hasira za watu, kutengeneza na kukonga nyoyo za watu. Naomba mashauri haya katika kulituliza na kulisongesha jahazi.

Moja, jifunze kutoka kwa mtangulizi wako JPM. Mtangulizi wako ashawahi kupitia katika kipindi kama hiki ambacho watu walimpa pressure kweli kweli kuhusu Bashite na vyeti feki vyake. Mtangulizi wako alikuwa na ngozi ngumu hasa na ninakushauri na wewe katika kikpindi kama hiki ujitahidi uvae ngozi ngumu -- uwe thick-skinned, wangereza wanasema. Usikurupuke kufanya maamuzi, kama umeshakosea, umeshakosea. Jipe muda, litafakari hili suala, kama kuna la kujifunza kwamba makosa kama haya yasirudie, basi chukua funzo na lisijirudie tena. Kipindi kama hiki si kipindi cha kupaniki, si wakati wa kumtafuta mchawi. Kuna watu bado wanahisi kuna ombwe la uongozi hasa baada ya JPM na hivyo ukikurupuka kusema chochote au kufanya lolote katika kipindi hiki utaharibu zaidi badala ya kujenga maana watu bado wana machungu mengi.

Pili, baada ya upepo kutulia (na kutulia utatulia tu) naamini utakuwa umeshalitafakuri hili suala na utakuwa na statement ya kutoa. Hii statement usiitoe kwa muktadha wa mechi ya Simba na Yanga tu. Hii inapaswa kuwa statement ya hadhi ya urais, yenye kuonyesha kwamba wewe kama Rais wa Tanzania utatumia nafasi yako kuboost sekta ya mpira (pengine na michezo kwa ujumla). Mtangulizi wako alikuwa na aina yake ya kujiconnect na sekta ya mpira na michezo, na wewe tafuta ya kwako pia. Si lazima uwe mwanamichezo kindakindaki, lakini ukiweza kugusa sekta ya michezo/mpira kwa namna moja au nyingine, utaweza kuwagusa sehemu kubwa ya watu wa Tanzania. Nakushauri wewe binafsi usipange kukosa mechi ijayo ya Simba na Yanga. Tafuta namna uwepo uwanjani.

Mwisho, kama nilivyokwisha kudokeza, kuna watu wa kutosha tu katika nchi hii ambao bado wana mashaka kama unaweza au hauwezi. Sasa jionyeshe kuwa unaweza. Na hii sentensi iko loaded, lakini naamini umenielewa. Mama achana na vispeech speech, fanya maamuzi magumu. Toa agizo. Tembelea. Fuatilia. Tekeleza. Kuna sababu kwanini JPM alikuwa effective, na baadhi ya sababu hizo zinapaswa kuwa sababu zako, na mengi ya mambo ya JPM kuwa mambo yako.

Asante.
Anasema yeye na mwendazake ni damudamu.Lakini gari letu la 2021-25 ameshang'oa tairi zote.Unapoteza muda na huo ushauri wako
 
Kuweza anaweza, ila kuna mambo sisi wananchi tunataka

1. Hatutaki dharau
2. Tunataka haki nchini
3. Tunataka utawala wa sheria
4. Hatutaki ufujaji, utapanyaji wa mali ya umma na ufisadi
5. Tunataka katiba mpya
6. Tunataka maendeleo
7. Tunataka uhuru wa kiraia
8. Hatutaki kuona Ujambazi mitaani kwetu
9. Tunataka kuona huduma za serikali zikiboreshwa
10. Tunaraka kuona bunge na mahakama vikiwa huru
11. Tunaka kuona uhuru wa vyombo vya habari
12. Tunataka kuona zinatungwa sheria bora na zile mbovu zinarekebishwa au kufutwa kabisa
13. Tunataka kuona rasilimai zetu zikitunufaisha
14. Tunataka kuona serikali inayojali watu kipindi cha majanga
15. Tunataka kuona serikali ya watu wanaofanya mambo kama watu wazima
16. Tunataka kuona keki ya Taifa ikiwemo ajira na teuzi vinatolewa si kwa upendeleo wa kikabila, kikanda au kulalia upande mmoja wa watu wa dini moja
 
Mama Samia mimi bado nakupenda na nataka ufanikiwe katika miaka yako hii minne iliyobaki, na kama ukifanya vizuri njia nyeupe kwako 2025 - 2030.

Ni kweli kwamba kuhairishwa muda kwa mechi ya Simba na Yanga kwa kisingizio cha ajabu kabisa kumetia doa urais wako, tena mapema sana katika awamu yako. Lakini mambo hayajaharibika kihivyo, bado kuna nafasi ya kuzima hasira za watu, kutengeneza na kukonga nyoyo za watu. Naomba mashauri haya katika kulituliza na kulisongesha jahazi.

Moja, jifunze kutoka kwa mtangulizi wako JPM. Mtangulizi wako ashawahi kupitia katika kipindi kama hiki ambacho watu walimpa pressure kweli kweli kuhusu Bashite na vyeti feki vyake. Mtangulizi wako alikuwa na ngozi ngumu hasa na ninakushauri na wewe katika kikpindi kama hiki ujitahidi uvae ngozi ngumu -- uwe thick-skinned, wangereza wanasema. Usikurupuke kufanya maamuzi, kama umeshakosea, umeshakosea. Jipe muda, litafakari hili suala, kama kuna la kujifunza kwamba makosa kama haya yasirudie, basi chukua funzo na lisijirudie tena. Kipindi kama hiki si kipindi cha kupaniki, si wakati wa kumtafuta mchawi. Kuna watu bado wanahisi kuna ombwe la uongozi hasa baada ya JPM na hivyo ukikurupuka kusema chochote au kufanya lolote katika kipindi hiki utaharibu zaidi badala ya kujenga maana watu bado wana machungu mengi.

Pili, baada ya upepo kutulia (na kutulia utatulia tu) naamini utakuwa umeshalitafakuri hili suala na utakuwa na statement ya kutoa. Hii statement usiitoe kwa muktadha wa mechi ya Simba na Yanga tu. Hii inapaswa kuwa statement ya hadhi ya urais, yenye kuonyesha kwamba wewe kama Rais wa Tanzania utatumia nafasi yako kuboost sekta ya mpira (pengine na michezo kwa ujumla). Mtangulizi wako alikuwa na aina yake ya kujiconnect na sekta ya mpira na michezo, na wewe tafuta ya kwako pia. Si lazima uwe mwanamichezo kindakindaki, lakini ukiweza kugusa sekta ya michezo/mpira kwa namna moja au nyingine, utaweza kuwagusa sehemu kubwa ya watu wa Tanzania. Nakushauri wewe binafsi usipange kukosa mechi ijayo ya Simba na Yanga. Tafuta namna uwepo uwanjani.

Mwisho, kama nilivyokwisha kudokeza, kuna watu wa kutosha tu katika nchi hii ambao bado wana mashaka kama unaweza au hauwezi. Sasa jionyeshe kuwa unaweza. Na hii sentensi iko loaded, lakini naamini umenielewa. Mama achana na vispeech speech, fanya maamuzi magumu. Toa agizo. Tembelea. Fuatilia. Tekeleza. Kuna sababu kwanini JPM alikuwa effective, na baadhi ya sababu hizo zinapaswa kuwa sababu zako, na mengi ya mambo ya JPM kuwa mambo yako.

Asante.
Umejitahidi kuzunguka zunguka kuwalaghai wasomaji kumbe nia yako ni kuendelea kumnadi jiwe.

Nikutaarifu tu kuwa jiwe kashasahaulika kitambo kirefu tangu day one pale chato.

Kwa sasa watu wanasonga mbele na rais mpya wa JMT .
 
Kuweza anaweza, ila kuna mambo sisi wananchi tunataka

1. Hatutaki dharau
2. Tunataka haki nchini
3. Tunataka utawala wa sheria
4. Hatutaki ufujaji, utapanyaji wa mali ya umma na ufisadi
5. Tunataka katiba mpya
6. Tunataka maendeleo
7. Tunatska uhuru wa kiraia
8. Hatutaki kuona Uhambazi mitaani kwetu
9. Tunataka kuona huduma za serikali zikiboreshwa
10. Tunaraka kuona bunge na mahakama vikiwa huru
11. Tunaka kuona uhuru wa vyombo vta habari
12. Tunataka kuona zinatungwa sheria bora na zile mbovu zinarekebishwa
13. Tunataka kuona rasilimai zetu zikitunufaisha
14. Tunataka kuona serikali inayojali watu kipibdi cha majanga
15. Tunataka kuona serikali ya watu wanaofanya mambo kama watu wazima
16. Tunataka kuona keki ya Taifa ikiwemo ajira na teuzi vinatolewa si kwa upendeleo wa kikabila, kikanda au kulalia upande mmoja wa watu wa dini moja
Umenena vyema. Kuna mjinga mmoja pale Dodoma anachezea kodi zetu kama anavyotaka kwa kuwalipa watu fake ambao katiba haiwatambui
 
Umejitahidi kuzunguka zunguka kuwalaghai wasomaji kumbe nia yako ni kuendelea kumnadi jiwe.

Nikutaarifu tu kuwa jiwe kashasahaulika kitambo kirefu tangu day one pale chato.

Kwa sasa watu wanasonga mbele na rais mpya wa JMT .
Well said Mkuu...
 
Walau kwa kauli ya PM wamefikiria kuwatendea haki mashabiki, ni hatua zilizochelewa. Well better late than never kilichobaki sasa tunataka na full apology kutoka kwa katibu mkuu kiongozi; sijui kwanini naamini ule utopolo wa weekend ni wazo lake.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom